Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

Taja squad ya orlando pirates , thamani ya wachezaji wao na nchi wanazotoka

Nani amekudanganya orlando pirates inatumia wachezaji wa ndani tupu ?

Timu ina watu wanacheza timu ya taifa ya nigeria halafu unasema ina wachezaji wa ndani tupu
 
Nilikuwa naangalia mazoezi ya Yanga jana au juzi, kuna wachezaji walikuwa wamekaa pembeni wanajiandaa. Aisee nilicheka sana.

Wachezaji kama 6 hivi wamepangana halafu wote ni kimo cha Ali Kamwe.
 
Mimi nilivyoona viongozi wa yanga wametambulishwa kwenye mkutano wa ccm...

Basi nikajua hakuna kazi tena?
 
Nilikuwa naangalia mazoezi ya Yanga jana au juzi, kuna wachezaji walikuwa wamekaa pembeni wanajiandaa. Aisee nilicheka sana.

Wachezaji kama 6 hivi wamepangana halafu wote ni kimo cha Ali Kamwe.
Ok , una uhuru wa kucheka pia,upo timu gani unayocheza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…