Engineer Hersi ashinda Uenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika African Clubs Association, hongera kijana

Sio Sikiliza wewe Kolokwinyo,, sio kwamba walikataa hao walishajiona kuwa hawana viongozi au wawakilishi wa maana wa kuweza kufit kwenye hicho kiti. Hivi pale Simba kama viongozi wenyewe wanagombana na hawaelewani, mashabiki hawawahitaji viongozi Kila siku wanalazimisha viongozi wajiuzul ndo wanaweza kupata mtu wa kukaa hyo position..?
 
KWAHIYO HATA SIMBA MOXTRA SPORTS CLUB NAYO MWENYEKITI WAO HUYU JAMAA!!!HUU MSIMU UTAKUWA MREFU SANA KWA MAKOLO AISEE...
 
Hongera sana Eng. Hersi, unatuheshimisha sana Yanga.

Huyu ndio Rais wa heshima sasa, sio heshima ya maandishi.
Heshima inaonekana!
Mbona mnashingilia hivi hili jambo? Watu walio busy walikwepa hii nafasi, hope ndiyo maana iliangukia kwake. Siyo big deal.

Ova
 
Hivi mnadhani hiko chama ni sawa na CAF? Maana mnashangilia na mmeanza kejeli zenu au mnadhani Hersi anaweza kuifungia Simba?
 
WAkati mwingine mjitahidi kuepuka aibu ndogo ndogo. Hao walikataa kwa sababu gani? Kama walikataa kwa nini walishiriki?

Acheni haya mambo mnajiabisha
 
Weka ushahidi usikopi kwa shoga mick ukapest hapa.
 
Hahaaaa eti kura pekee ya Try Again ilimkataa. Lakini wapi bwanaaa
 
Mbona mnashingilia hivi hili jambo? Watu walio busy walikwepa hii nafasi, hope ndiyo maana iliangukia kwake. Siyo big deal.

Ova
Ingekuwa sio big deal msingekuwa hapa b...
Mngetuachia thread wenyewe, ajabu nyie ndio mmejazana hapa na makasiriko kibao.
 
Ameshindana na nani? Amepata kura ngapi? Isijekuwa kama Babra tu kuteuliwa
 
Sawa ila hiyo haitobadilisha ukweli kwamba Yanga mtaishia makundi
Ila bado Eng. Hers atakuwa na Uenyekiti wa wenyeviti wa Timu zitakazovuka makundi na kucheza fainali...

Pia ni boss wa Mangungu na Try again ktk ngazi ya vilabu vya Africa vinavyotambuliwa CAF.

Hongera kwa Rais wa Yanga.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…