Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wewe ni ndugu yake mtu chake ?Hii picha ilijieleza mapema kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ndugu yake mtu chake ?Hii picha ilijieleza mapema kumbe
Sikiliza wewe Kolokwinyo,, sio kwamba walikataa hao walishajiona kuwa hawana viongozi au wawakilishi wa maana wa kuweza kufit kwenye hicho kiti. Hivi pale Simba kama viongozi wenyewe wanagombana na hawaelewani, mashabiki hawawahitaji viongozi Kila siku wanalazimisha viongozi wajiuzul ndo wanaweza kupata mtu wa kukaa hyo position..?Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
KWAHIYO HATA SIMBA MOXTRA SPORTS CLUB NAYO MWENYEKITI WAO HUYU JAMAA!!!HUU MSIMU UTAKUWA MREFU SANA KWA MAKOLO AISEE...
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu afrika na ndio Rais wa kwanza wa african clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa
Mbona mnashingilia hivi hili jambo? Watu walio busy walikwepa hii nafasi, hope ndiyo maana iliangukia kwake. Siyo big deal.Hongera sana Eng. Hersi, unatuheshimisha sana Yanga.
Huyu ndio Rais wa heshima sasa, sio heshima ya maandishi.
Heshima inaonekana!
Labda CUF ya Lipumba.
Umechanganyikiwa weweKichwa chako huwa kinapata sana moto, kichwa cha habari Eng. Hersi ameshinda halafu kwenye maelezo umesema ameshindwa
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Anadhani kuisema Simba atapata ahueni...Hivi zinakutosha kweli wewe?
WAkati mwingine mjitahidi kuepuka aibu ndogo ndogo. Hao walikataa kwa sababu gani? Kama walikataa kwa nini walishiriki?Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Mangungu banah! Umeandika Upumbavu gani huu!!Mbona mnashingilia hivi hili jambo? Watu walio busy walikwepa hii nafasi, hope ndiyo maana iliangukia kwake. Siyo big deal.
Ova
Weka ushahidi usikopi kwa shoga mick ukapest hapa.Hersi anapata urais baada ya wengine waliotakiwa kukataa.
Try Again kasema siyo kilichompeleka huko.
Katumbi kakataa,alibadilisha mawazo.
Mamelod wakasema hawajafikiria hilo, not interested.
Klabu ambazo zilitakiwa uraisi Ni:
Al Ahly
Simba
Horoya
Asec Mimosas
Sundowns
To Mazembe
Wote alikataa.
Hahaaaa eti kura pekee ya Try Again ilimkataa. Lakini wapi bwanaaa
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu afrika na ndio Rais wa kwanza wa african clubs.
Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita wakubwa
Huyu mbwiga nae katoka wapi?Hivi mnadhani hiko chama ni sawa na CAF? Maana mnashangilia na mmeanza kejeli zenu au mnadhani Hersi anaweza kuifungia Simba?
Ingekuwa sio big deal msingekuwa hapa b...Mbona mnashingilia hivi hili jambo? Watu walio busy walikwepa hii nafasi, hope ndiyo maana iliangukia kwake. Siyo big deal.
Ova
Hahahaaaa haya yote ya nini b... jamani?Labda CUF ya Lipumba.
Ova
Nipo hapa naangalia watu wanavyojitahidi kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiri.WAkati mwingine mjitahidi kuepuka aibu ndogo ndogo. Hao walikataa kwa sababu gani? Kama walikataa kwa nini walishiriki?
Acheni haya mambo mnajiabisha
Ila bado Eng. Hers atakuwa na Uenyekiti wa wenyeviti wa Timu zitakazovuka makundi na kucheza fainali...Sawa ila hiyo haitobadilisha ukweli kwamba Yanga mtaishia makundi