Engineer Hersi Said kuna vitu hufanyi kiprofessional bali unakurupuka

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
2,180
Reaction score
3,477
Habari wanajukwaa na mashabiki wenzangu wa young Africans sports, natumai mko poa.

Binafsi kwa muda wa misimu kama mitatu hapa nyuma nimekua sifurahishwi na mwenendo wa raisi wa young Africans kwenye baadhi ya mambo.

Kwanza ameingia sana kwenye propaganda za simba, kila wanachofanya simba nayeye anaiga au mchezaji akiachwa na simba yeye anamsajili ama wale wanaomaliza mikataba anaforce mpaka anawasajili, ambapo zimekua ni sajili za hasara according to Mkude, Chama, na sasa Mohamed hussein.

Pili, sikuona sababu ya maana ya kumuacha Miloud Hamdi na kwenda kuchukua huyu zuzu Romain Folz ila ni ujinga uleule kisa simba walikua wana Fadlu David's kutoka south Africa 🇿🇦 nawewe ukafuata upepo wa kijinga kwenda kuchuka mwehu eti hacheki, huyu ni vyema mngemtafutia msaada wa kisaikolojia.

Na kama akiendelea kwa mechi kadhaa basi mwisho wa yanga kule CAF CL itakua ni makundi tena ikishika mkia.

Pia tutapoteza makombe yote tunayoshiriki, maana sioni kazi inayofanywa na huyu kocha.

Kubali tu kwamba uliyumba then fanya marekebisho turudi kwenye mfumo tuliouzoea.

Ali Kamwe pia apunguze maneno ya kwenye khanga yeye sio mvaa vijora, apunguze kuiongelea sana simba maana sio kazi yake, kama ni utani basi kwa kiasi.

#NB fanyeni kila kitu kwa kiasi.
 
Ona hili mbumbumbu kwenye kichaka cha Yanga
 
Wewe sio shabiki wa mpira ni shabiki wa kutetea upuuzi
Toa ujinga wako hapa , kaangalie head to head za Yanga na Mbeya city hasa wakiwa wapo kwao ndio uje uropoke hapa! uanaongea vitu havi make sense kwahio mchezaji akitoka Simba hatakiwi kucheza Yanga? Hamid Meloud alikuja Yanga kwa mkataba wa miezi sita ulipo isha tayari alikua ana pre contract na Al Masri ulitaka Yanga wamteke?
 
Unaonekana umevurugwa akili mpaka utumbo lala salama
 
Malalamiko mengine hayana tija. Yanga imecheza zaidi ya mechi 3 dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine, na haikuwahi kupata matokeo! Zaidi huwa inaambulia tu sare! Na kuna mechi ilishawahi kufungwa kwenye huo uwanja! Na kocha alikuwa siyo Romain Folz!

Na kwa mfano kwenye mechi ya leo, unapata wapi nguvu ya kumlaumu kocha? Kama ni kikosi alipanga kizuri! Wachezaji walijitahidi kutafuta matokeo! Bahati haikuwa upande wao! Wewe unakuja kulalamika huku na kutukana watu hovyo! Wewe ni shabiki gani wa Yanga usiye jielewa?
 
Ni wapi pana tusi mimi naongeaga mpira siongeagi utimu
 
Malalamiko mengine hayana tija. Yanga imecheza zaidi ya mechi 3 dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine, na haikuwahi kupata matokeo! Zaidi huwa inaambulia tu sare! Na kuna mechi ilishawahi kufungwa kwenye huo uwanja! Na kocha alikuwa siyo Romain Folz!

Na kwa mfano kwenye mechi ya leo, unapata wapi nguvu ya kumlaumu kocha? Kama ni kikosi alipanga kizuri! Wachezaji walijitahidi kutafuta matokeo! Bahati haikuwa upande wao! Wewe unakuja kulalamika huku na kutukana watu hovyo! Wewe ni shabiki gani wa Yanga usiye jielewa?
Lawama zangu kwa kocha zipo kwenye mbinu tu. Hawa wachezaji walikuwa wana uwezo wa kufanya vitu vingi kwa ufasaha. Kwanini leo hii wachezaji wale wale wa struggle kama vile ni wapya wote?
 
Wewe sio shabiki wa mpira ni shabiki wa kutetea upuuzi

Unaonekana umevurugwa akili mpaka utumbo lala salama
Wewe ni shabiki maandazi. Ungekuwa ni shabiki wa mpira tena wa timu kama Yanga, usingekuja na haya malalamiko yako yasiyo na kichwa wala miguu!

Kama ulikuwa hujui, mechi mwisho kwenye ligi kuu misimu miwili iliyopita; Yanga alilazimika kutokea nyuma na kusawazisha goli 3 ilizo tanguliwa na hii timu! Na ni kutokana na sare ya 3-3, ikasababisha hiyo Mbeya city kushuka daraja! Maana kwenye hiyo mechi ilihitaji ushindi tu ili ibakie ligi kuu.

Kwa hiyo usifikiri Yanga alikutana na timu dhaifu. Na katika hili, achana na malalamiko yako yasiyo na tija. Wamepita makocha wengi, na wote hawakuwahi kupata mteremko kwenye ligi.

Au unafikiri ni Yanga oekee ndiyo inayostahili kushinda? Shabiki wa aina gani wewe!
 
Lawama zangu kwa kocha zipo kwenye mbinu tu. Hawa wachezaji walikuwa wana uwezo wa kufanya vitu vingi kwa ufasaha. Kwanini leo hii wachezaji wale wale wa struggle kama vile ni wapya wote?
Yanga imecheza zaidi ya mara 5 kwenye huo uwanja wa Sokoine dhidi ya Mbeya city, na mara zote hizo iliambulia tu sare na kipigo! Na kwa kipindi hicho ilikuwa chini ya usimamizi wa makocha tofauti!

Leo kama uliangalia mpira, wachezaji walijitahidi. Lakini utulivu usingekuwepo kwa sababu ya ubovu wa uwanja! Huo uwanja hata simba walishafunga mara nyingi tu na wapinzani wao.

Mashabiki tujitahidi kuwa na subira. Ligi ndiyo kwanza imeanza. Tukiingia kwenye siasa kama za mashabiki wa simba, kamwe haziwezi kuisaidia timu. Leo kwa kweli kocha alijitahidi kupanga kikosi sahihi ukilinganisha na mechi zilizopita. Ni vile tu ushindi haukuwa upande wao. Timu imepata sare, itajipanga kwa mechi zijazo.
 
Wewe ni shabiki maandazi. Ungekuwa ni shabiki wa mpira tena wa timu kama Yanga, usingekuja na haya malalamiko yako yasiyo na kichwa wala miguu!

Kama ulikuwa hujui, mechi mwisho kwenye ligi kuu misimu miwili iliyopita; Yanga alilazimika kutokea nyuma na kusawazisha goli 3 ilizo tanguliwa na hii timu! Na ni kutokana na sare ya 3-3, ikasababisha hiyo Mbeya city kushuka daraja! Maana kwenye hiyo mechi ilihitaji ushindi tu ili ibakie ligi kuu.

Kwa hiyo usifikiri Yanga alikutana na timu dhaifu. Na katika hili, achana na malalamiko yako yasiyo na tija. Wamepita makocha wengi, na wote hawakuwahi kupata mteremko kwenye ligi.

Au unafikiri ni Yanga oekee ndiyo inayostahili kushinda? Shabiki wa aina gani wewe!
Nakuonaga unajua mpira nawe kumbe walewale tu, unajua Arsenal hakushinda kwa miaka mingapi pale old Trafford?? Ila mambo yamebadilika sana hata wapewe mechi kila wiki man u lazima afe, Acha maisha ya kukariri vitu kwenye derby ya kariakoo ilikua ngumu sana mtu kuachia point 6 kwa msimu mmoja ila kwasasa simba kawa kama mtori tu, maisha hubadilika
 
Back
Top Bottom