Club inakuwa obsessed na Simba mpaka inajikuta indirectly primary objective zinazopiganiwa ni zile zinazowafanya kuonekana ni wababe dhidi ya Simba hata kama hazina ulazima.Habari wanajukwaa na mashabiki wenzangu wa young Africans sports, natumai mko poa.
Binafsi kwa muda wa misimu kama mitatu hapa nyuma nimekua sifurahishwi na mwenendo wa raisi wa young Africans kwenye baadhi ya mambo.
Kwanza ameingia sana kwenye propaganda za simba, kila wanachofanya simba nayeye anaiga au mchezaji akiachwa na simba yeye anamsajili ama wale wanaomaliza mikataba anaforce mpaka anawasajili, ambapo zimekua ni sajili za hasara according to Mkude, Chama, na sasa Mohamed hussein.
Pili, sikuona sababu ya maana ya kumuacha Miloud Hamdi na kwenda kuchukua huyu zuzu Romain Folz ila ni ujinga uleule kisa simba walikua wana Fadlu David's kutoka south Africa 🇿🇦 nawewe ukafuata upepo wa kijinga kwenda kuchuka mwehu eti hacheki, huyu ni vyema mngemtafutia msaada wa kisaikolojia.
Na kama akiendelea kwa mechi kadhaa basi mwisho wa yanga kule CAF CL itakua ni makundi tena ikishika mkia.
Pia tutapoteza makombe yote tunayoshiriki, maana sioni kazi inayofanywa na huyu kocha.
Kubali tu kwamba uliyumba then fanya marekebisho turudi kwenye mfumo tuliouzoea.
Ali Kamwe pia apunguze maneno ya kwenye khanga yeye sio mvaa vijora, apunguze kuiongelea sana simba maana sio kazi yake, kama ni utani basi kwa kiasi.
#NB fanyeni kila kitu kwa kiasi.
Ndo shida ya mwanasiasa akiwa head wa taasisi.Rais wako wa klabu Injinia, anapenda makocha wasio na CV kubwa ili aweze kuwaburuza kwenye baadhi ya maamuzi ya ndani na nje ya uwanja.
Upo sahihi boss.Na hicho ndicho ninachokikataa mimi mkuu
Ficha ujinga wako ,ninyi ndio wale mashabiki mnaoingia na matokeo mfukoniLawama zangu kwa kocha zipo kwenye mbinu tu. Hawa wachezaji walikuwa wana uwezo wa kufanya vitu vingi kwa ufasaha. Kwanini leo hii wachezaji wale wale wa struggle kama vile ni wapya wote?
Sasa hapo umejibu nini mkuu mbona umepita kwenye maelezo Yale Yale ya Tate MkuuNakuonaga unajua mpira nawe kumbe walewale tu, unajua Arsenal hakushinda kwa miaka mingapi pale old Trafford?? Ila mambo yamebadilika sana hata wapewe mechi kila wiki man u lazima afe, Acha maisha ya kukariri vitu kwenye derby ya kariakoo ilikua ngumu sana mtu kuachia point 6 kwa msimu mmoja ila kwasasa simba kawa kama mtori tu, maisha hubadilika
Mtalia sanaa round hiiLeo Matola ndiyo alikuwa kocha mkuu eti wakati wanaongea na waandishi wa habari. Halafu kocha wa timu pinzani ya Namungo ni Juma Mgunda! Wakati anahojiwa, alikuwa anawashambulia tu waandishi wa habari, huku akileta ujuaji wake wa hapa na pale.
Kesho mtegemee upangaji wa matokeo usio na shaka yoyote ile kati ya Simba A vs Simba B.
Nilijua unasema nifiche ujinga wangu kisha unatoa maelezo ya kimbinu na kiufundi kocha kafaulu kwenye lipi. Kumbe unaleta ngonjera. Unadhani mimi nimeanza kulalamika jana kwavile timu haijashinda? Nimeongea tokea mechi ambayo Yanga imeshinda dhidi ya Wilette ya Angola kuwa kocha hana mipango na mbinu sahihi na hatua ya makundi klabu bingwa hatoboi.Ficha ujinga wako ,ninyi ndio wale mashabiki mnaoingia na matokeo mfukoni
Anzisha timu Yako ndio ichezr unavyotaka yanga sio ya ukoo wako Kaa nayo mbali haikuhusuNilijua unasema nifiche ujinga wangu kisha unatoa maelezo ya kimbinu na kiufundi kocha kafaulu kwenye lipi. Kumbe unaleta ngonjera. Unadhani mimi nimeanza kulalamika jana kwavile timu haijashinda? Nimeongea tokea mechi ambayo Yanga imeshinda dhidi ya Wilette ya Angola kuwa kocha hana mipango na mbinu sahihi na hatua ya makundi klabu bingwa hatoboi.
mashabiki ambao Manara alikuwa anasemea ndio kama wewe. Kwahiyo Yanga ni timu ya ukoo wako? Wewe inakuhusu au haikuhusu?Anzisha timu Yako ndio ichezr unavyotaka yanga sio ya ukoo wako Kaa nayo mbali haikuhusu
We ndio zwazwa anzisha timu Yako ndio upange hayo masharti yako ya kichono yanga sio ya ukoo wako kusema uipangie nini Cha kufanya bwabwa wewe umelazimishwa kuwa mwanachama si shobo zako tumashabiki ambao Manara alikuwa anasemea ndio kama wewe. Kwahiyo Yanga ni timu ya ukoo wako? Wewe inakuhusu au haikuhusu?
Yanga ni timu ya wanachama hivyo wanachama wana haki ya kuhoji. Acha kuwa zwazwa
Wewe ulisema mpira wa bongo ufatilii vipi mbona unashadadia mambo ya Yanga? Unakuwa kama mwanamke asiye na msimamo.We ndio zwazwa anzisha timu Yako ndio upange hayo masharti yako ya kichono yanga sio ya ukoo wako kusema uipangie nini Cha kufanya bwabwa wewe umelazimishwa kuwa mwanachama si shobo zako tu
Anzisha timu Yako ***** wewe yanga Ina wenyewe sio wewe ***** unaamka na kuanza kukosoa kitu kisichokuhusuWewe ulisema mpira wa bongo ufatilii vipi mbona unashadadia mambo ya Yanga? Unakuwa kama mwanamke asiye na msimamo.
Bado narudia ficha ujinga na mihemko yakoNilijua unasema nifiche ujinga wangu kisha unatoa maelezo ya kimbinu na kiufundi kocha kafaulu kwenye lipi. Kumbe unaleta ngonjera. Unadhani mimi nimeanza kulalamika jana kwavile timu haijashinda? Nimeongea tokea mechi ambayo Yanga imeshinda dhidi ya Wilette ya Angola kuwa kocha hana mipango na mbinu sahihi na hatua ya makundi klabu bingwa hatoboi.
Sawa mkuu tuheshimu muda, utatupa majibu sahihi. Kwako naishia hapaBado narudia ficha ujinga na mihemko yako
Fanyia kazi huo ushauri mkuuSawa mkuu tuheshimu muda, utatupa majibu sahihi. Kwako naishia hapa
Hakuna cha kufanyia kazi bali muda ndio utatoa majibu sahihi kama ni yupi alikuwa sahihi. Kwavile mpira wa miguu ni mchezo wa wazi tutapata majibu msimu bado ndio kwanza umeanza.Fanyia kazi huo ushauri mkuu
💪Hakuna cha kufanyia kazi bali muda ndio utatoa majibu sahihi kama ni yupi alikuwa sahihi. Kwavile mpira wa miguu ni mchezo wa wazi tutapata majibu msimu bado ndio kwanza umeanza.