frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
unamfaham huyu mtu?? unajua ni rais wa wapi?? je unajua elimu yake kasomea nini?? ulichosomea hakimaanishi wewe ni kiongozi bora au la?? au una maanisha injinia haruhusiwi kuwa kiongozi??Hatimaye chuo cha elimu ya biashara CBE kimempata mkuu mpya ambaye ni eng. prof. Emmanuel Mjema. Wadau mimi najiuliza inakuwaje injinia awe mkuu wa chuo cha biashara? Hamuoni kwamba ni mambo ya kujuana zaidi?
unamfaham huyu mtu?? unajua ni rais wa wapi?? je unajua elimu yake kasomea nini?? ulichosomea hakimaanishi wewe ni kiongozi bora au la?? au una maanisha injinia haruhusiwi kuwa kiongozi??
View attachment 81684
Sijasema kwamba engineer hafai kuwa kiongozi ila ninachomaanisha ni kuwa ni vyema kiongozi akawa ana ujuzi kiasi fulani juu ya kile anachokiongoza. Hata kwenye katiba mpya wengi wamependekeza mawaziri wasiwe wabunge ili watu waweze kuteuliwa kutokana na cv zao. Kwa mfano waziri wa elimu angekuwa mwalimu by profession asingeweza kushindwa kujibu hoja za wabunge kuhusu mitahala ya elimu
akili nyingi mpaka akaitwa engineer sio kilaza,an engineer can fit in any field,we call him a SECOND GOD
Mungu baada ya kuumba dunia alimwachia Engineer aiendeleze kwa magari, majumba, ndege, umeme, meli, etcakili nyingi mpaka akaitwa engineer sio kilaza,an engineer can fit in any field,we call him a SECOND GOD
yah uko sahihi lakin unamfaham john magufuli?? je kasomea wapi maswala ya ujenzi?? mbona ni amefit kwenye nafasi yake!!! mi nadhan enginerr ni engineer tu,na uongozi hausomwi shule ni kipaji na uwezo wa mtu!Sijasema kwamba engineer hafai kuwa kiongozi ila ninachomaanisha ni kuwa ni vyema kiongozi akawa ana ujuzi kiasi fulani juu ya kile anachokiongoza. Hata kwenye katiba mpya wengi wamependekeza mawaziri wasiwe wabunge ili watu waweze kuteuliwa kutokana na cv zao. Kwa mfano waziri wa elimu angekuwa mwalimu by profession asingeweza kushindwa kujibu hoja za wabunge kuhusu mitahala ya elimu
Mkuu unataka kupotosha hoja ya msingi ya frakitosho,yeye kwanza kabisa anakubali Engineer anaweza kuwa kiongozi mzuri katika mambo ya engineering works,kama vile DIT na maeneo mengine yenye uhusiano na engineering works.Lakini kuongoza chuo kinachojiusisha na biashara purely ndiyo inamtatiza!unamfaham huyu mtu?? unajua ni rais wa wapi?? je unajua elimu yake kasomea nini?? ulichosomea hakimaanishi wewe ni kiongozi bora au la?? au una maanisha injinia haruhusiwi kuwa kiongozi??
View attachment 81684