ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
that isn't always a case mkuu...je unamfaham magufuli??? je yeye kasomea wapi maswala ya ujenzi?? na mbona anaongoza secta za ujenzi na anafanya vizuri! mfano mwingine ni rais wa zanzibar yeye ni daktari lakini mbona kawa rais!! UONGOZI SI ELIMU BALI NI UWEZO WA MTU!!!Mkuu unataka kupotosha hoja ya msingi ya frakitosho,yeye kwanza kabisa anakubali Engineer anaweza kuwa kiongozi mzuri katika mambo ya engineering works,kama vile DIT na maeneo mengine yenye uhusiano na engineering works.Lakini kuongoza chuo kinachojiusisha na biashara purely ndiyo inamtatiza!