Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ngwini? Kama alivyosema mkuu hapo juu........... Engineers can engineer anything, so worry not my friend!Hatimaye chuo cha elimu ya biashara CBE kimempata mkuu mpya ambaye ni eng. prof. Emmanuel Mjema. Wadau mimi najiuliza inakuwaje injinia awe mkuu wa chuo cha biashara? Hamuoni kwamba ni mambo ya kujuana zaidi?
Anachonifurahisha huyu kamanda ana ushiriakiano wa karibu sana na wanafunzi, Anakwambia Mkufunzi akikutongoza we njoo na ushahidi wa recording, binti akigongwa CBE kapenda mwenyewe ama ye bdo kamtongoza mwalimu
Anachonifurahisha huyu kamanda ana ushiriakiano wa karibu sana na wanafunzi, Anakwambia Mkufunzi akikutongoza we njoo na ushahidi wa recording, binti akigongwa CBE kapenda mwenyewe ama ye bdo kamtongoza mwalimu
Sio sahihi kufananisha ngazi ya urais na ukuu wa chuo. Rais anaongoza nchi yenye shughuli za aina mbalimbali ikiwamo ile aliyoisomea yeye. Suala linakuja kwenye kuongoza chuo ambacho ni special kwa masomo ya biashara pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu (business consultancy). Je huyu engineer ataweza kusimamia vyema bila kudanganywa na wasaidizi wake? Hebu kumbuka jinsi mama Zakia Meghji alivyozungukwa na wazee wa EPA na akakubali kuidhinisha fedha za EPA "bila kujua" (source yeye mwenyewe). Je angelikuwa mtaalamu wa masuala ya fedha na uhasibu asingeokoa zile fedha za EPA?
mh jiheshimu c fb humu
kwani uhandisi sio biashara?Sijasema kwamba engineer hafai kuwa kiongozi ila ninachomaanisha ni kuwa ni vyema kiongozi akawa ana ujuzi kiasi fulani juu ya kile anachokiongoza. Hata kwenye katiba mpya wengi wamependekeza mawaziri wasiwe wabunge ili watu waweze kuteuliwa kutokana na cv zao. Kwa mfano waziri wa elimu angekuwa mwalimu by profession asingeweza kushindwa kujibu hoja za wabunge kuhusu mitahala ya elimu
Uongozi bora hautokani na akili bali ujuzi. Sasa huyu prof. ana ujuzi wa mambo ya biashara? Yeye ujuzi wake ni engineering.
CBE hata mimi naweza kuongoza wale wacheza picha za x
Unachosahau ni kuwa kuwa kiongozi, ni kuweza ku-deal na walio chini yako. Ni kweli kuwa vyuo vyenye kada maalumu waachiwe wenye kada hiyo, lakini unasahau kuwa kuna chuo kikuu chenye kada zote, sasa hapo sijui utampa mtu wa kada gani.... Jamani kuitwa engineer ni baada ya kupata degree ya kwanza, hizi zingine mpaka kuitwa Prof anaweza akawa amesoma mengine. Kwenye engineering kuna kozi za menejimenti wanazosoma.Nchi yetu iko hapa kutokana na hili tatizo. Watu kusomea taaluma nyingine na kuongoza nyanja tofauti.
Hebu fikiria mtu aliyesoma PSPA au Hiyo Eng anaweza kuiongoza MUHAS au CUHAS vizuri?
Taasisi zinazohusika na taaluma maalumu waachiwe wajuzi wa hiyo kada.
Kua kiongozi sio tatizo. Bali kuongoza Nyanja usio na taaluma nayo ndio tatizo.
Engineering is a great Proffesion according to F. Lincoln! umeeleza vzr sana!.Unachosahau ni kuwa kuwa kiongozi, ni kuweza ku-deal na walio chini yako. Ni kweli kuwa vyuo vyenye kada maalumu waachiwe wenye kada hiyo, lakini unasahau kuwa kuna chuo kikuu chenye kada zote, sasa hapo sijui utampa mtu wa kada gani.... Jamani kuitwa engineer ni baada ya kupata degree ya kwanza, hizi zingine mpaka kuitwa Prof anaweza akawa amesoma mengine. Kwenye engineering kuna kozi za menejimenti wanazosoma.
Umemshahau Economist&Staticician.Ki ukweli Mhandisi unaweza kumfananisha na tabibu tu(MD),hao ndio pekee wanaomudu vizuri kuingia kwenye fani nyingine bila shida.
Tofauti na wahasibu, wanasheria na wengineo,wao kamwe hawawezi kuingia kwenye taaluma ya uhandisi au utabibu.
JApo hii thread ina zaidi ya mwaka! Ninatamani sana kujua elimu yako kwani siyo siri uelewa wako upo chini sana! Na ni wa kukariri kariri tu! Samahani kama nimekuudhi!!Uongozi bora hautokani na akili bali ujuzi. Sasa huyu prof. ana ujuzi wa mambo ya biashara? Yeye ujuzi wake ni engineering.
Hivi hakuna kozi za finance engineering au business engineering? Maana kama kuna Bsc Finance mzumbe university then si ajabu tukasikia finance engineering.