Engineer kuongoza chuo cha biashara ni sahihi? Soma hapa

Engineer kuongoza chuo cha biashara ni sahihi? Soma hapa

Anachonifurahisha huyu kamanda ana ushiriakiano wa karibu sana na wanafunzi, Anakwambia Mkufunzi akikutongoza we njoo na ushahidi wa recording, binti akigongwa CBE kapenda mwenyewe ama ye bdo kamtongoza mwalimu
 
Hatimaye chuo cha elimu ya biashara CBE kimempata mkuu mpya ambaye ni eng. prof. Emmanuel Mjema. Wadau mimi najiuliza inakuwaje injinia awe mkuu wa chuo cha biashara? Hamuoni kwamba ni mambo ya kujuana zaidi?
Wewe ni ngwini? Kama alivyosema mkuu hapo juu........... Engineers can engineer anything, so worry not my friend!
 
Anachonifurahisha huyu kamanda ana ushiriakiano wa karibu sana na wanafunzi, Anakwambia Mkufunzi akikutongoza we njoo na ushahidi wa recording, binti akigongwa CBE kapenda mwenyewe ama ye bdo kamtongoza mwalimu

Kwan mwanz alikuwa anafundisha wap?wamfahamuje?
 
Anachonifurahisha huyu kamanda ana ushiriakiano wa karibu sana na wanafunzi, Anakwambia Mkufunzi akikutongoza we njoo na ushahidi wa recording, binti akigongwa CBE kapenda mwenyewe ama ye bdo kamtongoza mwalimu

Mkuu.
Kwani kunakosa Mkufunzi kumtongoza dent wake kwenye level kama ya CBE???
 
Sio sahihi kufananisha ngazi ya urais na ukuu wa chuo. Rais anaongoza nchi yenye shughuli za aina mbalimbali ikiwamo ile aliyoisomea yeye. Suala linakuja kwenye kuongoza chuo ambacho ni special kwa masomo ya biashara pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu (business consultancy). Je huyu engineer ataweza kusimamia vyema bila kudanganywa na wasaidizi wake? Hebu kumbuka jinsi mama Zakia Meghji alivyozungukwa na wazee wa EPA na akakubali kuidhinisha fedha za EPA "bila kujua" (source yeye mwenyewe). Je angelikuwa mtaalamu wa masuala ya fedha na uhasibu asingeokoa zile fedha za EPA?

Uwezo wa wabongo wengi katika kuelewa mambo ni mdogo sana,hasa hawa wasomi wetu wa jamii forums walio wengi ,na suala la kukosa umakini pia limekuwa janga la taifa. Anyway jamaa wamevurunda,kila mtu anaweza kufundisha UDSM kuna coz mbalimbali lakin si kla mtu anaweza kufundisha CBE Hivyo hivyo si kila mtu anaweza kuongoza CBE Ile ni specialized institute heeee.
 
mh jiheshimu c fb humu

Unaona umeandika point na wewe....?Watu wengine bwana hovyoooooooo,me na wewe nani maandishi yake yamekaa ki FB!!!!!Katafute chaka na wewe kama haja imekubana ptuuuuu
 
Sijasema kwamba engineer hafai kuwa kiongozi ila ninachomaanisha ni kuwa ni vyema kiongozi akawa ana ujuzi kiasi fulani juu ya kile anachokiongoza. Hata kwenye katiba mpya wengi wamependekeza mawaziri wasiwe wabunge ili watu waweze kuteuliwa kutokana na cv zao. Kwa mfano waziri wa elimu angekuwa mwalimu by profession asingeweza kushindwa kujibu hoja za wabunge kuhusu mitahala ya elimu
kwani uhandisi sio biashara?
 
Uongozi bora hautokani na akili bali ujuzi. Sasa huyu prof. ana ujuzi wa mambo ya biashara? Yeye ujuzi wake ni engineering.

Wewe ndiye kilaza kweli, hujui engineers huwa wanafaulu vizuri sana masomo ya biashara wakiamua kwenda huko? Katafute takwimu pale NBAA uambie Technicians na Engineers wanavyofaulu mitihani ya bodi! Engineering means mathematics and when you talk of Finance you are talking about numbers!! We mtu ya HGL nini?
 
Nchi yetu iko hapa kutokana na hili tatizo. Watu kusomea taaluma nyingine na kuongoza nyanja tofauti.

Hebu fikiria mtu aliyesoma PSPA au Hiyo Eng anaweza kuiongoza MUHAS au CUHAS vizuri?

Taasisi zinazohusika na taaluma maalumu waachiwe wajuzi wa hiyo kada.

Kua kiongozi sio tatizo. Bali kuongoza Nyanja usio na taaluma nayo ndio tatizo.
 
Unachosahau ni kuwa kuwa kiongozi, ni kuweza ku-deal na walio chini yako. Ni kweli kuwa vyuo vyenye kada maalumu waachiwe wenye kada hiyo, lakini unasahau kuwa kuna chuo kikuu chenye kada zote, sasa hapo sijui utampa mtu wa kada gani.... Jamani kuitwa engineer ni baada ya kupata degree ya kwanza, hizi zingine mpaka kuitwa Prof anaweza akawa amesoma mengine. Kwenye engineering kuna kozi za menejimenti wanazosoma.
 
Engineering is a great Proffesion according to F. Lincoln! umeeleza vzr sana!.
 
Ki ukweli Mhandisi unaweza kumfananisha na tabibu tu(MD),hao ndio pekee wanaomudu vizuri kuingia kwenye fani nyingine bila shida.
Tofauti na wahasibu, wanasheria na wengineo,wao kamwe hawawezi kuingia kwenye taaluma ya uhandisi au utabibu.
Umemshahau Economist&Staticician.
 
Uongozi bora hautokani na akili bali ujuzi. Sasa huyu prof. ana ujuzi wa mambo ya biashara? Yeye ujuzi wake ni engineering.
JApo hii thread ina zaidi ya mwaka! Ninatamani sana kujua elimu yako kwani siyo siri uelewa wako upo chini sana! Na ni wa kukariri kariri tu! Samahani kama nimekuudhi!!
 
Hivi hakuna kozi za finance engineering au business engineering? Maana kama kuna Bsc Finance mzumbe university then si ajabu tukasikia finance engineering.

Iyo course mkuu ipo,financial engineering inatolewa mostly kwa nchi zilizoendelea kazi zao Ni kudesign financial models mbali mbali mfano za kodi ,pension na katika finance industry in general, jaribu kugoogle kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom