fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
kwa hao wahindi,nackia mnakaa class kama primary au sec mpaka saa 11 jion,kweli mkuu
Kweli hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hao wahindi,nackia mnakaa class kama primary au sec mpaka saa 11 jion,kweli mkuu
acheni mambo nyie! Udsm wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! Dit wako vizuri sana kwenye utendaji than udsm! Udsm ukiwaambia 4x4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan dit watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! Nimefanya field na watu wa degree wa udsm kipindi mm nikiwa diploma dit at the same field lakini udsm ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! Udsm ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina achiba!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu mchagahalisi, you made my day.
Binafsi ni mhandisi pia (PEng(T). Naona sasa tuna Romantic Engineers wana Mipasho hasa!!!
udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.
unataka uniambie hakuna hata mtu mmoja ambaye wewe unamuita failure aliyepitia pre entry course anayefanya vizur zaid hapo mist kuliko wewe?? Usijifanye unauwezo wakufikilia zaid wewe kulko walotangulia nakuamua kuwaweka hao unaowaita failures
ftc wanaenda failures wa form iv hutaki andamana kwani hatuwajui kuwa div 3 ndo wanaendaga ftc
Acheni mambo nyie! UDSM wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! DIT wako vizuri sana kwenye utendaji than UDSM! UDSM ukiwaambia 4X4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan DIT watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! nimefanya field na watu wa degree wa UDSM kipindi mm nikiwa Diploma DIT at the same field lakini UDSM ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! UDSM ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina ACHIBA!!!!!!!!!!!!!!!
kuna rafiki zangu wawili walimaliza FTC wakaenda UDSM electrical engineering,walidisco wote 2nd year,mmoja akaenda ardhi kusoma ISM na mmoja alirudi DIT kusoma ile ile electrical,huku walipokuja walikua wanajua hasa huyo wa DIT alikua kichwa vibaya,ukitaka ushahidi kama ww ni graduate wa 2013 DIT basi nitakuambia ni nani? so kama vitu wanavirudia kwanini wanashindwa pale COET na nawajua walisoma shule za ufundi since form1 na juzi tu kuna mwengine kaliwa kichwa civil nae alitokea diploma,pale COET paskieni tu hivo hivo ila habari yake kama unaitaka we nenda pale ukasome😂😂😂😂😂😂🙉🙉🙉
Kuna ngazi mbili za kusoma
Technician
Engineer
Anaesomea u Tecnician anatoka form four na atasoma either DIT or MUST
then ataenda kupiga Kazi au ataendelea na bachelor degree
Hiyo bachelor degree Anaweza soma DIT MUST or UDSM
kwa wataosoma DIT or MUST or st Joseph wataingia direct 2nd year
But ukienda UDSM unaanza first year tena
Ingawa masomo ya first year kwa matechnician wanakuwa walisoma tayari kwa wanaoenda UDSM mfano engineering drawing na structure mechanics
Then wote wanaweza kusoma hiyo bachelor of engineering
But kwa technician anaesoma bachelor mpaka anamaliza degree anakuwa ameenda field Mara sita tofauti na form six ataenda Mara nne
Pia baadhi ya masomo ya degree ni muendelezo au marudio kwa technician mfano soil mechanics, RCC design n detailing, quantity survey, engineering survey kwa civil engineers almost engineering mathematics ndio zinakuwa mpya
That's all
Otherwise mjudge mtu kwa uwezo wake wa Kazi unayompa
Mkuu ni kweli kuwa dit wanatoa bachelor in engineering while udsm...wanatoa bachelor in science in engineering..... But mostly engines from udsm ni theory tu but engineer bora awe anajua kazi angalia wenzetu wazungu wanafanya kaz practical