Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Haya bana ila mimi naweza sema inategemea mtu mwenyewe ana malengo gani? Udsm wewe ndo ujue unatafuta nn
acheni mambo nyie! Udsm wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! Dit wako vizuri sana kwenye utendaji than udsm! Udsm ukiwaambia 4x4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan dit watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! Nimefanya field na watu wa degree wa udsm kipindi mm nikiwa diploma dit at the same field lakini udsm ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! Udsm ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina achiba!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu mchagahalisi, you made my day.
Binafsi ni mhandisi pia (PEng(T). Naona sasa tuna Romantic Engineers wana Mipasho hasa!!!

Enzi zetu mtu unaumiza kichwa kutafuta ni project gani ufanye ili uwe wa tofauti bt nw days vijana wanacopy na kupaste project zetu za zamani. Nachelea kusema hatuna Wahandisi kwa sasa ila tuna vijana wenye vyeti vya Uhandisi.
 
udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.

Mbona hata DIT ni designers?
 
Ukimweka engineer wa udsm na wa DIT. Ktk kazi wa udsm hamfikii wa DIT hata kidogo coz wa UDSM wapo vizuri ktk nadharia yaani hao ni watoa maelekezo fanya hivi but hajui invyofanywa kutatua tatizo
 
Watu wa ftc wakichanganywa na wa form six theoreticaly ftc wako shallow ila practical wako vizuri,na m2 aliyesoma ftc(dit,must na atc) akitaka bachelor kwa usalama wake aendelee hukohuko akijichanganya huku udsm hatoki hata st joseph ftc wanasuasua sana(weng wanasoma miaka hata 6 degree ya miaka 4 coz pale hakunaga disco ukifel wanakubreak unarudia mwaka kama hutak unasepa)
 
unataka uniambie hakuna hata mtu mmoja ambaye wewe unamuita failure aliyepitia pre entry course anayefanya vizur zaid hapo mist kuliko wewe?? Usijifanye unauwezo wakufikilia zaid wewe kulko walotangulia nakuamua kuwaweka hao unaowaita failures

ftc wanaenda failures wa form iv hutaki andamana kwani hatuwajui kuwa div 3 ndo wanaendaga ftc
 
Sijui Engineering ipi inazungumziwa hapo (civil, electrical, computer etc) maana ukizungumzia professional ni hatua kabisa engineer anaifikia kwa kuwa na site experience kwa miaka kadhaa tangu amalize chuo!
 
Dit kwa upanda wa uhandisi inatoa wahandisi bora zaidi kuliko Coet ....
 
Mkuu ni kweli kuwa dit wanatoa bachelor in engineering while udsm...wanatoa bachelor in science in engineering..... But mostly engines from udsm ni theory tu but engineer bora awe anajua kazi angalia wenzetu wazungu wanafanya kaz practical
 
😂😂😂😂😂😂🙉🙉🙉

Kuna ngazi mbili za kusoma
Technician
Engineer

Anaesomea u Tecnician anatoka form four na atasoma either DIT or MUST
then ataenda kupiga Kazi au ataendelea na bachelor degree
Hiyo bachelor degree Anaweza soma DIT MUST or UDSM
kwa wataosoma DIT or MUST or st Joseph wataingia direct 2nd year
But ukienda UDSM unaanza first year tena
Ingawa masomo ya first year kwa matechnician wanakuwa walisoma tayari kwa wanaoenda UDSM mfano engineering drawing na structure mechanics
Then wote wanaweza kusoma hiyo bachelor of engineering

But kwa technician anaesoma bachelor mpaka anamaliza degree anakuwa ameenda field Mara sita tofauti na form six ataenda Mara nne

Pia baadhi ya masomo ya degree ni muendelezo au marudio kwa technician mfano soil mechanics, RCC design n detailing, quantity survey, engineering survey kwa civil engineers almost engineering mathematics ndio zinakuwa mpya
That's all

Otherwise mjudge mtu kwa uwezo wake wa Kazi unayompa
 
Acheni mambo nyie! UDSM wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! DIT wako vizuri sana kwenye utendaji than UDSM! UDSM ukiwaambia 4X4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan DIT watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! nimefanya field na watu wa degree wa UDSM kipindi mm nikiwa Diploma DIT at the same field lakini UDSM ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! UDSM ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina ACHIBA!!!!!!!!!!!!!!!

Hao waliokuwa wanakusimamia wakati uko field uliwauliza wamesomea wapi wakakuambia ni DIT???
Hv ni watu wangapi unaowafahamu ww kama Engineers vichwa nchi hii waliosoma DIT???
Shame on you,,show some respect to your superiors young boy!!!!
 
😂😂😂😂😂😂🙉🙉🙉

Kuna ngazi mbili za kusoma
Technician
Engineer

Anaesomea u Tecnician anatoka form four na atasoma either DIT or MUST
then ataenda kupiga Kazi au ataendelea na bachelor degree
Hiyo bachelor degree Anaweza soma DIT MUST or UDSM
kwa wataosoma DIT or MUST or st Joseph wataingia direct 2nd year
But ukienda UDSM unaanza first year tena
Ingawa masomo ya first year kwa matechnician wanakuwa walisoma tayari kwa wanaoenda UDSM mfano engineering drawing na structure mechanics
Then wote wanaweza kusoma hiyo bachelor of engineering

But kwa technician anaesoma bachelor mpaka anamaliza degree anakuwa ameenda field Mara sita tofauti na form six ataenda Mara nne

Pia baadhi ya masomo ya degree ni muendelezo au marudio kwa technician mfano soil mechanics, RCC design n detailing, quantity survey, engineering survey kwa civil engineers almost engineering mathematics ndio zinakuwa mpya
That's all

Otherwise mjudge mtu kwa uwezo wake wa Kazi unayompa
kuna rafiki zangu wawili walimaliza FTC wakaenda UDSM electrical engineering,walidisco wote 2nd year,mmoja akaenda ardhi kusoma ISM na mmoja alirudi DIT kusoma ile ile electrical,huku walipokuja walikua wanajua hasa huyo wa DIT alikua kichwa vibaya,ukitaka ushahidi kama ww ni graduate wa 2013 DIT basi nitakuambia ni nani? so kama vitu wanavirudia kwanini wanashindwa pale COET na nawajua walisoma shule za ufundi since form1 na juzi tu kuna mwengine kaliwa kichwa civil nae alitokea diploma,pale COET paskieni tu hivo hivo ila habari yake kama unaitaka we nenda pale ukasome
 
Kiufupi DIT wanatoa technicians na sio ma Engineer hata kama wanapewa shahada.Technician popote ndo mtendaji halisi.Engineers are planners ana Administrator.Mfano mafundi umeme wengi wazuri,mafundi mitambo wazuri,waashi wazuri,mafundi kompyuta wazuri n.k sio ma-Engineer.Lakn haina maana kwamba wao ni zaidi ya ma Engineer, ni tofauti tu ya majukumu.Km sı TCU,wanafunzi wengi wa DIT ni wale waliopata Div 3 tena za 15-16 na hao walıoanza na Dip.
 
Mkuu ni kweli kuwa dit wanatoa bachelor in engineering while udsm...wanatoa bachelor in science in engineering..... But mostly engines from udsm ni theory tu but engineer bora awe anajua kazi angalia wenzetu wazungu wanafanya kaz practical

Dah KWA UANDISHI HUU, WEWE UTAKUWA PRODUCT YA BRN
 
Back
Top Bottom