Ahsante Makodinda kwa kuwa mkweli. Unajua enzi zile ilikuwa ukisema naenda chuo kikuu unasema Mlimani, kumbe chuo kikuu siyo Mlimani tu, sasa watu bado wanamambo ya enzi zile za Ujima. Wakati UCLAS na MUHAS viko chini ya UDSM watu walisema ni product ya UDSM, je leo UCLAS-ARDHI kwa sasa na MUHAS, vinajitegemea ndo ubora umeongezeka au umepungua? Kwa vyovyote ni almost the same au kuongezeka ubora na si kushuka kwa sabab ya kutoshirikiahwa na UDSM
Wakati fulani FCET siyo CoET walitaka kuungana na DIT, Prof Kondoro wa DIT akastuka. Kwa kuwa misaada yote ingepaswa kutolewa kibali toka UDSM
Wakati fulani FCET siyo CoET walitaka kuungana na DIT, Prof Kondoro wa DIT akastuka. Kwa kuwa misaada yote ingepaswa kutolewa kibali toka UDSM