Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Ahsante Makodinda kwa kuwa mkweli. Unajua enzi zile ilikuwa ukisema naenda chuo kikuu unasema Mlimani, kumbe chuo kikuu siyo Mlimani tu, sasa watu bado wanamambo ya enzi zile za Ujima. Wakati UCLAS na MUHAS viko chini ya UDSM watu walisema ni product ya UDSM, je leo UCLAS-ARDHI kwa sasa na MUHAS, vinajitegemea ndo ubora umeongezeka au umepungua? Kwa vyovyote ni almost the same au kuongezeka ubora na si kushuka kwa sabab ya kutoshirikiahwa na UDSM
Wakati fulani FCET siyo CoET walitaka kuungana na DIT, Prof Kondoro wa DIT akastuka. Kwa kuwa misaada yote ingepaswa kutolewa kibali toka UDSM
 
jamani DIT na MUST wanasoma ili wakafanye kazi ndo maana wanasoma harakAharaKA 3 years only, ila udsm ni wahandisi wanaosoma kwa makini sana 4 YEARS ili wakatenGeneze kazi ili DIT wazifanye, na wengine kuwA ACADEMICIANS. NENDA DIT UKaULIZE 80% YA WALIMU WAMESOMA WAPI PAMOJA NA DIT KUWA KONGWEA
 
Wana accomplish nini ? Acheni sifa za kijinga!!!

Kuna maprofessor mabadiliko ya nchi katika nyanja zao hatuoni.

Zamani nilikuwa kama hivi..unafurahia kufaulu la saba kusoma shule fulani ,kusoma Engineering ...n.k.

Leo sina ushabiki cha muhimu ni kile mtu anacho accomplish ....hizi elimu za madesa manakuja kushindanisha.
 
Darubin ni madesa tu, huna jipya. Mwaka wa kwanza wa workshop technology niliyosoma mm secondary pale tech nao unahesabu ni mwaka wa degree we zombie huna hoja. Wkshop technology ya first year pale CoET tuliisoma secondary halafu wew unauhesabu ni mwaka wa degree kweli hujui kitu
 
jamani DIT na MUST wanasoma ili wakafanye kazi ndo maana wanasoma harakAharaKA 3 years only, ila udsm ni wahandisi wanaosoma kwa makini sana 4 YEARS ili wakatenGeneze kazi ili DIT wazifanye, na wengine kuwA ACADEMICIANS. NENDA DIT UKaULIZE 80% YA WALIMU WAMESOMA WAPI PAMOJA NA DIT KUWA KONGWEA

Mbona jf humu kuna vichaa sana...Mimi nimepangiwa electrical eng dit na naenda kusoma 4 yrz na sio kama uwezo wa kusoma udsm nilikuwa sina nilikuwa naweza kwenda kusoma course nzuri yeyote ya engineering.kila mtu na malengo yake na anataka nini,mimi nimechagua dit kwa mapenzi yangu nina tisa hila nina washikaji zangu wamechaguliwa udsm wana 3.mimi naamini kila mtu na malengo yake cha msingi unataka nini kwenye maisha sio jina la chuo.nadhani hayo mambo kuona kipi bora ubora wa mtu kipindi tutakaporudi mtaani baada ya miaka 4 ndio itaonyesha direction ya mtu sio majina ya vyuo tulivyosoma nadhani kama sisi 1st year tuna changamoto kubwa sana kuonyesha kweli tuna nia ya kuachieve kitu sio kupiga kelele tu
 
DIT kama hauna dip unapiga miaka minne mzaz acha ushabik
 
yap mitatu ni kwa ajili ya wenye dip tayar but f6 huchukua minne
 
Naona hujanielewa vizuri... Naamanisha COET wako vizuri katika kudesign, Mfano in Civil work, ambayo designation inafanyika..

Hueleweki ndiyo maana sijakuelewa! Mbona hujajibu hao COET wamesha-design structure ipi ya mfano hapa nchini? Hapo ulipo nadhani huwezi ku-design hata Culvert ndiyo maana longo longo nyingi! Vijana wa sasa mmejaa pomposity lakini inapokuja kwenye efficiency mko weupe! Support maelezo yako kwa vielelezo na siyo bla bla! Engineering field is not politics!
 
yap mitatu ni kwa ajili ya wenye dip tayar but f6 huchukua minne

yah...ni kweli mkuu leo nilikuwa pale nilienda kuchukua joining instruction nilikuta na majina yote pamoja na wadip ambao wanasoma miaka 3.unajua sina muda mrefu humu jf ila nimegundua kuna watu wanapenda ushabiki humu jf.lazima tukubali kila mtu na malengo yake sio jina la chuo wala unataka nini chuoni mimi nina rafiki zangu wawili wanaingia second year nilikuwa nao special school..mmoja alipata div one ya pt 4 alipangiwa telcom eng udsm mwisho wa siku chuoni alibadilisha course kwenda education hapo hapo udsm mimi nilishangaa ila niliamini ni malengo yake.mwingine nitakutana nae dit anaingia second year yupo civil eng alihama kutoka udsm course(civil eng) kwenda dit kipindi cha kubadilisha chuo.kwahiyo kila mtu na malengo yake .sehemu zote mbili zitatoka product nzuri na mbovu hii inatoka na mtu anataka nini anapoenda chuoni.nadhani sisi maengineer wa baadae tunatakiwa kupeana changamoto sio kusema chuo changu kizuri hayo sio mawazo ya kisomi ya maengineer walimaliza na sisi maengineer watarajiwa tunaopambana kufikia malengo ya wenzetu waliomaliza sio kupiga kelele kama watoto wa shule ya msingi
 
Hueleweki ndiyo maana sijakuelewa! Mbona hujajibu hao COET wamesha-design structure ipi ya mfano hapa nchini? Hapo ulipo nadhani huwezi ku-design hata Culvert ndiyo maana longo longo nyingi! Vijana wa sasa mmejaa pomposity lakini inapokuja kwenye efficiency mko weupe! Support maelezo yako kwa vielelezo na siyo bla bla! Engineering field is not politics!

Ahahaha haya embu wale wa ud waje wajitetee hapa wanyanyue chuo chao...ahaha ili wakifika mtaani wale bata kwa kuwa wametoka ud
 
yah...ni kweli mkuu leo nilikuwa pale nilienda kuchukua joining instruction nilikuta na majina yote pamoja na wadip ambao wanasoma miaka 3.unajua sina muda mrefu humu jf ila nimegundua kuna watu wanapenda ushabiki humu jf.lazima tukubali kila mtu na malengo yake sio jina la chuo wala unataka nini chuoni mimi nina rafiki zangu wawili wanaingia second year nilikuwa nao special school..mmoja alipata div one ya pt 4 alipangiwa telcom eng udsm mwisho wa siku chuoni alibadilisha course kwenda education hapo hapo udsm mimi nilishangaa ila niliamini ni malengo yake.mwingine nitakutana nae dit anaingia second year yupo civil eng alihama kutoka udsm course(civil eng) kwenda dit kipindi cha kubadilisha chuo.kwahiyo kila mtu na malengo yake .sehemu zote mbili zitatoka product nzuri na mbovu hii inatoka na mtu anataka nini anapoenda chuoni.nadhani sisi maengineer wa baadae tunatakiwa kupeana changamoto sio kusema chuo changu kizuri hayo sio mawazo ya kisomi ya maengineer walimaliza na sisi maengineer watarajiwa tunaopambana kufikia malengo ya wenzetu waliomaliza sio kupiga kelele kama watoto wa shule ya msingi

yaah malengo ndio jambo la msingi
 
Well said Makidunda

yah...nimeona commentz zako chaza,nimefurahi sana kuona umeshakuwa prof engineer.angalau nimezaliwa kwenye familia ambayo engineering sio kitu kigeni coz kaka zangu maengineer pamoja na mzee wangu engineer na lecture udsm na bro wangu mkubwa anafanya phd korea.natamani kuwa prof engineer kama natumaini nitafanikisha mkuu tunahitaj watu kama nyinyi kupeana changamoto na hamasa katika kupeana changamoto.nimefurah sana mkuu
 
Soma tu mdongo wangu. Ni upogo tu unaona watu wanafagilia CoET mara cjui DIT, surely kwenye ajira huku huu utoto haupo kabisa. Kikubwa ukisha maliza chuo chochote we nenda haraka ERB usajiliwe kama Graduate Engineer, halafu ingia SEAP program kwa miaka mitatu kwa malengo na uvumilivu ili uwe Professional Engineer. Hapo ERB ndo wanajua nani ni nani na wala siyo desa za chuo A kiko juu ya chuo Z,ukishakuwa PE, hamna porojo ni kazi tu.
 
Kiukweli mi najivunia tech collage more zan sana. Kwa sababu tofauti na focus za kimaisha mi nyumbani hali ni teteh na hilo nililiona mapema kipind nipo o level. Nilichofanya ni kujaza first priority tech school na kweli tokeo lilipotoka nikapiga zangu point 18 kwenye PCM nikiwa na B flat mungu si asumani nikachaguliwa dit nikapiga zangu diploma( kwa iyo kwa matokeo hayo nilikuwa na uwezo wa kwenda advance na shule yoyote na combination yoyote pia) so ile kasumba ya wanaoenda dit au tech school ni wale waliofeli muifute 1. K kipind nikiwa diploma nilijitaid vya kutosha kusoma na kila mwaka nikajikuta nawaongoza wenzangu class kwan dit unapofanya vizuri huwa wanaandaa shereh na kukupongeza kihela flan,izo nilizikomba zote kuanzia 1st year to 3d year na zilinisaidia kulipa ada na matumiz yangu mengne kama nilivyosema home majanga. Baada ya kumaliza diploma nilikaaaa mtaani wiki 2 tu na wala sikubeba bahasha kuomba kazi mtaani nilichofanya ni kuingia internet na kuomba online kazi,mungu c adhuman nilikaa zangu cku kama 2 nashangaa asubuh naitwa njoo interview. Nikaenda wakani interviw na kushinda kesho yake nikaanza kazi na mshahara wa laki 6 iv na usheee hapo nikiwa ofcn baada ya muda nikapangiwa sait hapo mshahara ukaongezeka mpaka m1 na usheee iv.hayo yote yalifanyika ndani ya mwaka 1 nilivyokuwa na akili pia na mimi lengo langu lilikuwa ni kuchukua degree 2 baada ya mwaka 1 wa kazi. Na kweli mwaka uliofuata nikaomba tcu na nikapata dit pia. Sasa issue ikaja bodi washenz wakanipa 0 percent ya ada daaaaaaaa nikadata hapo m2 mzima nikadata any way nikasema fain. Hapo nimepanga kitaaa na kodi nadaiwa na siwez kuwaambia hme eti nataka ada nika2lia lakin kipind kile chote nafanya kazi nilikuwa na2nza hela na mkataba ulikuwa miaka 2 nami nimefanya mwaka 1 nikapiga kazi chin na kuchukua hela zangu zote kama milion 4 iv. Hapo nikalipa ada na kodi nikalipa ada ya chuo kama m na point 2. madogo zangu nao nikawapiga shule za maana. Na maisha yakawa yanaendelea kama kawa na sasa naingia mwaka wa 2 na maisha yanasonga kama kawaaaaaaa. Haya nikiwa zangu chuo bado hela hainiishiii kwa kupiga dil zangu kama sait vile,kuchora raman n.k,
Haya kama ningeenda advance
1. Je ningemudu kulipa adaaa na kodi ya kitaaaa
2. Ningeweza kuwasaidia wadogo zangu
3. Ningeweza kujinunulia mwenyewe computer yangu ya kujisomea na cmu nzuri kama iphone
hayo maswali yote nawaachia wadau muyajibu lakini
Yote ya yote tech tupo juuuuuuuuuuuuuu ile mbaya na kwa kweli 2najikubali
Aya washkaji wa form 6 2po nao clac na bado 2nawachapa kama kawaaaaaaaaaa.na pia
Waajir weng wanapenda sana wa2 wa tech hasa constr film even consultancy.

Mwisho naomba kuwasilisha mada tajwaaa.
 
Ahahaha haya embu wale wa ud waje wajitetee hapa wanyanyue chuo chao...ahaha ili wakifika mtaani wale bata kwa kuwa wametoka ud

Hawana lolote hao wa udsm, especially hao form 6 then engineering! Huwezi kuwa-compare na engineers ambao wamepitia FTC/DIPLOMA then engineering! Na kwa taarifa yake miaka ya nyuma waliokuwa wanaenda FTC ni wale waliokuwa wanapata DIV 1 & 2 ambao hawakupenda kwenda PCM. Sasa wa PCM mwaka wa kwanza university unapoanza kujifunza engineering/technical drawing wenzako wa FTC walijifunza hiyo mwaka wao wa kwanza during their FTC studies. Hao wa mlimani/udsm wanakuja kutuomba kazi na vyeti vyao vya madesa vimejaa A's kibao lakini mwambie a-desing hata dog kernel uone atakavyochemka!!
 
Soma tu mdongo wangu. Ni upogo tu unaona watu wanafagilia CoET mara cjui DIT, surely kwenye ajira huku huu utoto haupo kabisa. Kikubwa ukisha maliza chuo chochote we nenda haraka ERB usajiliwe kama Graduate Engineer, halafu ingia SEAP program kwa miaka mitatu kwa malengo na uvumilivu ili uwe Professional Engineer. Hapo ERB ndo wanajua nani ni nani na wala siyo desa za chuo A kiko juu ya chuo Z,ukishakuwa PE, hamna porojo ni kazi tu.

You've nailed it...
 
Back
Top Bottom