The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
TINTIN Number...!![emoji848][emoji848]
Bila shaka utakuwa umekula bia za kutosha kwa comment ya namna hiiHiyo inaitwa TPB Bank, sio Tanzania Postal Bank kama ilivyo CRDB Bank, ambayo sio Cooperative and Rural Development Bank.
Vv
Mbona NMB hawana hiyo NMB Bank kwenye logo yao? Kwahiyo wao hawaathiriki kimatangazo?
View attachment 1171511
hii ndo East Africa ya masharikiTPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa???
View attachment 1171492
View attachment 1171493
NB: NSSF nipeni fao langu la mkupuo. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
Hahahah we jamaa na mashikamoo yako loohMnisamehe leo sijatoa shikamoo kwa wakubwa zangu wote wa humu Jamiiforums. I'm sincerely sorry
AkikujibuNa NMB ni brand name ama ni acronym???
Halafu Wabongo ambao kiingereza ni lugha ya Tatu wanajifanya kujua zaidiWangeandika TP Bank basi. Kuna bank ya Canadians inaitwa Toronto Dominion Bank. Kifupi chake ni TD Bank, si TDB Bank.
Huyo mwamba kwenye avatar yako anayarudi sio mchezo!!TIN Number...!![emoji848][emoji848]
Akikujibu
ni tag
Boss wao Ni engineer hivyo grammar kwao si hoja,Ila kikubwa mzee meko anaona mabadiliko[emoji2420][emoji2420]TPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa???
View attachment 1171492
View attachment 1171493
NB: NSSF nipeni fao langu la mkupuo. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
Kwa hiyo unamaanisha NMB hawajaongeza neno Bank kwenye logo yao kwa maana jina lao ni maarufu kiasi kwamba mtu akisikia tu neno NMB automatically anajua tu ina maanisha ni bank???mfano ukisema Nmb kwa Tz kuna mtu hataelewa unamaanisha bank?
Unakosea hiyo.benki.inaitwa TPBTPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal
Wangeandika TP bank wangepata tabu sana kueleweka na watu, maana hiyo TPB Bank ndio watu walikuwa wakiita hivyo, na wenyewe wakaamua kunata na biti hivyo hivyo. Wangefanya rebranding kujiita TP bank wangechanganya watu, wangedhani ni bank mpyaWangeandika TP Bank basi. Kuna bank ya Canadians inaitwa Toronto Dominion Bank. Kifupi chake ni TD Bank, si TDB Bank.