Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa na passion ya kuijua vizuri sana hii lugha ya kiingereza km hyu member wa humu anayeitwa kiranga nitumie njia gani niweze kui master vizur hii lugha????
Kiranga ni wa kawaida sn ila watu wanampa kichwa eti anajua lugha.
Soma vitabu.
ukiwa na hobby ya kusoma vitabu vya kitaaluma na hata vya burudani itakuongezea msamiati wako. Epuka kutegemea sana dictionary, ukisoma sentensi mara kadhaa you should figure out what the word meant. Halafu usiangalie bongo movie wala nigerian stuff
kula la kheri.
Kiranga anajua kiingereza cha kuandika tu, lakini kwenye debate ya kuongea live utashangaa.
Tatizo ni viwango vya hali ya chini sana tulivyonavyo Wabongo.
Mtu wala huhitaji kufanya jambo lolote lile la ajabu ili uweze kuitwa 'kichwa' na/au 'genius'.
Kwa mfano, humu ukiandika hususan kwa Kiingereza maneno ambayo labda hayajazoeleka kwa watu, hiyo inatosha kabisa kwa baadhi kukuona wewe kuwa ni 'genius' hata kama unatania tu na kuandika pumba.
Ukijadili nadharia ambayo labda wengi hawana ufahamu nayo hiyo inatosha kabisa wewe kupachikwa 'ukichwa'
Wakati mwingine huwa nasikitika sana lakini ndo hivyo tena, ndo watu wetu walivyo ama sijui ndo tulivyo kwa ujumla!
I am not talking too fast, they are listening too slow.
I talked about the big bang theory at an impromptu communications skills class -the focus was on public speaking, not cosmogony- even the teacher couldn't ask me a question because he had heard neither of the big bang theory, nor of the word cosmogony.
These things, along with the effect of ChloroFluoroCarbons on the ozone layer and the danger posed by bacterial resistance to antibiotics were in the news back in the mid nineties, I read about these. How many of our secondary school students knew about these issues or were even interested to know?
How.many had access to Newsweek, Time Magazine and libraries? How many utilized this access amply?
So sometimes the mere interest and inquisitive nature sets one apart even if one is not that exceptional.
This underscores your point that we have an issue with our collective level of exposure. To the extent that a garden variety knowledge of the English language, quite possibly leaning on a mediocre "globish" bastardization of the genuine article, is hailed akin to Churchillian bombast crossed with Dickensian prose.
This was back in high school in 96.
And I found out about these things from reading Newsweek, Times Magazine, books from British Council, USIS and Tanganyika Library.
That's another point to ponder, do these youngsters frequent these libraries to garner even the globish that Kiranga is inappropriately reputed to be a master for?
Sasa basi, kama ulivyosema, depending on vantage point, what we see as commonplace, others see as exceptional.
Moreover, we do not know the age, education, exposure of the people asking.
While I view myself as largely ignorant regarding the intricacies of the English tongue, some would genuinely view that as some sort of pompous fake modesty.
It's all relative.
kunywa supu ya dikishenare.
Akila hiyo la kheri atashiba .??
Na hii ndo inayosababisha wengi wasijue lugha hii ya Malkia...wengi humuona yule anayeijua kama anaringa anapoitumia. Na yule anayejifunza anaanza kuona aibu eti atachekwa akikosea.
Wengi wanaona Kiranga anaandika lugha ngumu...lakini kimsingi siyo kweli ila yeye lugha yake inacut across different disciplines kwa kutumia misamiati husika appropriately.