Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaSiwezi kufanya ujinga huo! Hata member wa familia yangu akifanya apitilize huko huko!
Thread imelalia hapa.Mzazi ndiye chanzo.Wazazi ndo mnatesa watoto....maana hawalazimishi mtoto wako kusoma shule hizo
Montessori wa kwanza hapo pamoja na BismackNami nimeliona, ni mateso kwa watoto hasa umri wao. Iwekwe sheria kwamba mabasi yote ya watoto yaanze safari saa moja, wenye shule watajua watawekaje ratiba ya masomo. Hizi za taasisi za dini wanakuwa wakali sana, kuna mda wanafunga Gate kama ukichelewa.
Kuna vitoto vimebana kwenye probox mpaka huruma! Vinakusalimia tu Good Morning SirWazazi wengi wana angalia "status",
Kwamba watoto wangu wote wana soma private schools (Kusoma private inaonyesha unazo pesa)
Watoto wakijua kuongea English (wanaonekana akili zimo)
Haya ya kutoka saa kumi na moja asb na kurudi saa kumi na moja jioni kama wafanya kazi! HAYA WASHUGHULISHI