Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa mfumo wa Wenger umemuua kawa mvivu hakuna.Arshavin hakuna kitu
Alivyokuja alikuwa mkali sana ,siku hizi anaanza kuwa mchovuArshavin hakuna kitu
Hapa leo 6hahahahaha 2-0 Chelsea
Alivyokuja alikuwa mkali sana ,siku hizi anaanza kuwa mchovu
Nafikiri ni red card ile. Ilikuwa rafu ya wazi na isiyo na umuhimu.refa kachemsha kumpa redcard cahill/.
refa kaharibu mpira wa arsenal na red card famba