English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Dakika 1 Chelsea wanaongoza kwa baola Essien.......come on Blues!
 
Tatizo ni makosa ya kutokuwa makini ambayo wanafanya wachezaji vijana kina Evra,Nani,Evans ,tumepoteza ushindi game 2 so far
 
huyu chamakh kwa vinjwa na mkubali lakini sehemu zingine baDO ANASINZia pace ya game bado hajaiweza.
 
Duh Asamoah Gyan anawapelekea furaha wanazi wa sunderland wanalead kwa Moja now
 
refa kaharibu mpira wa arsenal na red card famba
 
Naona mwaka huu chelsea wanataka kuharibu ligi...hii clean sheet yao inatisha.3-1 hapa altleast hammers wamepata kamoja
 
Back
Top Bottom