Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

Sisi wa kataa ndoa tunaruhusiwa kujadili..?? Maana hatutaki shida na hatuna masharti, hatuna makuu, awe anafinyia ama anaikunia nazi, aichumie tembele, ama afe kama membe hatujali...
Ni unaizungumzia Babycare?
 
LAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu[emoji1787] akwambie zamani ilikua vipi
We mdada upo?[emoji38]
Kuja pm basi boss wangu soon naleta mzigo wa majeneza Dar nikifika ningependa japo nikuletee zawadi kutoka Dom[emoji39]
 
Back
Top Bottom