Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mmh sitatumia udi tenaNdio lakini kwa degree tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh sitatumia udi tenaNdio lakini kwa degree tofauti
[emoji1][emoji1][emoji1] hizo harufu zote nina atract nguvu fulani...Nilichoma udi ku neutralize harufu ya bangi room. Nia Ilikuwa hiyo tu...ila ikaja kunikera.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ni imani tu. Sijui chochote kuhusu udi nia yangu ilikuwa kuondoa harufu. Kwahiyo sidhani kama hizo nguvu zilinipata..nipo vile vile sijawahi badilika wala kuona mauzauza.[emoji1][emoji1][emoji1] hizo harufu zote nina atract nguvu fulani...
Huku nilipo napata og kwa urahisi,[emoji120]But don't use cheap stuff.. Zinakera
Si lazima uzione au zikuathiri lakini zipo na zinafanya kazi ... Moshi wa bhangi una nguvu fulani kiroho na moshi wa udi una nguvu fulani kwenye mapepo.Ni imani tu. Sijui chochote kuhusu udi nia yangu ilikuwa kuondoa harufu. Kwahiyo sidhani kama hizo nguvu zilinipata..nipo vile vile sijawahi badilika wala kuona mauzauza.
[emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]Safi sana mr mzee mshana
Mi napenda harufu ya udi, sijui maana zake ila napenda na kesho asubuhi nitajifukiza kabla ya kwenda job basi nashinda nanukia kama mwarabu.... that's it mengine sijui.Not for that reason my friend.. Thats the only simple and logical answer they can give
We umenitengaLong time no see you rafiki