Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Mlionana?Sawa Sawa kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlionana?Sawa Sawa kiongozi
anauliza kama tulionana!Kunani..
Mshamba huyo... Bado upo nae mpaka sasa hivi au mlishaachana?Hii mada imenikumbusha mbali kidogo.Siku moja bwana tupo kazini mwenzetu kafungua mkoba kunakitu alikua anatoa.Nkaskia kiarufu flani hivi kizuri,nkamuuliza "best humu kuna nini kinanukia"akaniambia jana yake alinunua udi town so akasaau kuuweka nyumbani.
Nikavutiwa bwana nikamwambia anipe kidogo nikachome na Mimi kwangu.(Nlikua sijawai hizi Mambo.)Akanielekeza mwenyewe.
Nlivofika home na Mimi nimemaliza pilika zangu za jikoni,nikaingia chumbani kuchoma.Nikaingia zangu bafuni nlivofika nkatoa jalo nje.Nurudi chumbani na mwenye nyumba nae kafika(mr).Akaanza kuuliza humu chumbani kuna harufu gani,mi kimya najidai nashangaa, harufu???? Inamana we husikii hii harufu da akaanza kufungua madirisha na mapazia.Aliwaka ilibidi niseme ukweli.Yuko chumba kina harufu kama manzese manzese we mwanamke mbona sikuelewi.Alipiga chafya za maana.Sijawai tena kurudia hicho kitu.
May be uko allergic to its according to medicine beyond science I don't knwchumbani kwangu UDI ni mahala pake... Ila cha ajabu niliingia Na mpenz akasema ooh harufu inampa kizunguzungu, Mara anajihis kuzimia Mara ooh anajihis kubanwa pumzi.... Ikabidi aondoke, MSAADA TAFADHALI mana mi natumiaga tu sijui zina athari kwa wengine
acha uchawi weweMshamba huyo... Bado upo nae mpaka sasa hivi au mlishaachana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mada imenikumbusha mbali kidogo.Siku moja bwana tupo kazini mwenzetu kafungua mkoba kunakitu alikua anatoa.Nkaskia kiarufu flani hivi kizuri,nkamuuliza "best humu kuna nini kinanukia"akaniambia jana yake alinunua udi town so akasaau kuuweka nyumbani.
Nikavutiwa bwana nikamwambia anipe kidogo nikachome na Mimi kwangu.(Nlikua sijawai hizi Mambo.)Akanielekeza mwenyewe.
Nlivofika home na Mimi nimemaliza pilika zangu za jikoni,nikaingia chumbani kuchoma.Nikaingia zangu bafuni nlivofika nkatoa jalo nje.Nurudi chumbani na mwenye nyumba nae kafika(mr).Akaanza kuuliza humu chumbani kuna harufu gani,mi kimya najidai nashangaa, harufu???? Inamana we husikii hii harufu da akaanza kufungua madirisha na mapazia.Aliwaka ilibidi niseme ukweli.Yuko chumba kina harufu kama manzese manzese we mwanamke mbona sikuelewi.Alipiga chafya za maana.Sijawai tena kurudia hicho kitu.
My apology!
Mkuu mie napenda kujifusha sana ni moja ya starehe yangu kunukia uturi mzuri,je kuna shidaNot for that reason my friend.. Thats the only simple and logical answer they can give
Hapana kabisa kunukia vizuri kuna maana kubwa sana...ni reflection yaMkuu mie napenda kujifusha sana ni moja ya starehe yangu kunukia uturi mzuri,je kuna shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani [emoji120],acha niendeleeHapana kabisa kunukia vizuri kuna maana kubwa sana...ni reflection ya
Usafi
Kujipenda
Settled mind
Stress free
Utu wema
Furaha
Amani etc