Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mkuu hizi mada zako zinakuwaga ngumu Sana kumeza Ila angalau nimejifunza kitu Hapa.
Hongera kwa Andiko zuri
Hongera kwa Andiko zuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapotea mfuate bwana yesuMbona mimi napenda sana harufu huwa nawasha hata kwenye gari yangu binafsi
Yesu mwenyewe alitumia ubani. Acha ujinga jieleweshe unapoelimishwaUtapotea mfuate bwana yesu
Hilo ni geni kwangu kwakweli sijawahi kusikia hiliMshana Jr hebu niweke sawa hapa. Kuna mahali nimesoma kuwa unaweza kuula ubani na ukawa na ufanisi uleule. Ni kweli?