Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

Kuliko kukosoa ungeandika kile unachofahamu ndio njia sahihi ya kushare maarifa
Wewe iman yako ni ipi uislam au ukristo?
Iman yako imejengwa vipi ktk msimamo mkali au wasta?
 
Wewe iman yako ni ipi uislam au ukristo?
Iman yako imejengwa vipi ktk msimamo mkali au wasta?
Suala la msimamo kuwa mkali wa wastani nk linatokana na attitude aliyonayo mtu binafsi baada ya Interpretation ya maandiko ya dini anayoiamini lakini kimsingi zoezi au Rituals zinazo husisha mafusho, mafukizo udi uvunba nk yaani smudging liko ktk maandiko ya dini karibu zote kuu duniani sambamba na hao wa Imani za dini zinazoitwa za kishirkina.
 
Mi napenda udi sijui maana yake, sijui majina yake ila harufu yake tu ndani naipenda, nikichoma bila kujua maana au kudhamiria chochote ni shida?
Kama hufanyi manuizi yoyote ni sehemu ya urembo japo kuna roho unazialika naturally ambazo zinapenda uturi.. Kimsingi viumbe roho hao ni majini wapole wasio na bughudha... Na hukusihi kimyakimya utumie mpaka inakuzoea na kuwa hulka yako... Angalia wanawake wa pwani wanavyopenda udi
 
Nasikia misa kuu na ubani, kumbe!! Sikujua kwani nilikua na mawazo mengine. Some zuri, limeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…