Heshima Mkuu!
Nje ya mada kidogo samahani Mkuu
Ni ushuhuda tu Mkuu
Kuhusu ule mti kupandwa karibu na nyumba. Nilifanya utafiti wangu nilishangazwa mtu niliyemuuliza hazungumzi kiswahili nilijaribu kumwelewesha nini nazungumzia Alikiri ni kweli ni mti wenye hatari hiyo. Alikiri ni mti ambao mataifa mengi Africa na Asia wanaujua kiama chake lakini kila mmoja anasema mti mzuri kuupanda mbali kidogo!
Nirudi kwenye mada samahani Mkuu!
Mishumaa ya kanisani ni kwamba unatakiwa kuipata toka kanisani au ni ile tu inauzwa madukani?
Uvumba na manemane unaotumika makanisani je? Ni sawa kununua kwenye maduka ya kawaida?