love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Sema kwelii.... Hata perfume Kali nazo siendani nazo KBS kama kwenye dala naweza kushukaa maana nachafukwa roho kbsUtakuwa na mapepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwelii.... Hata perfume Kali nazo siendani nazo KBS kama kwenye dala naweza kushukaa maana nachafukwa roho kbsUtakuwa na mapepo
Hiyo hali sio ya kawaida mkuu una mashetani wabaya waone wataalamuSema kwelii.... Hata perfume Kali nazo siendani nazo KBS kama kwenye dala naweza kushukaa maana nachafukwa roho kbs
Sawa mkuuHaina mbaya so long haikuletei shida yoyote
Uko sahihi kabisa kwa mtazamo wa dunia inayoonekanaTukiacha hayo yote ya mshana jr mbona nasikiaga pia kuna Udi unaotumika kama tu Air Fresh yani haina maana yoyote kati ya hizo za mshana hapo...Unakuta hata mwanamke ukimptia ana kiarufu flani kizuriiiii..sasa mi nataka kujua Ni kweli Udi zote hutumika kwa kazi hyo ya mshana?? Hamna mtu anaetumia udi kwa aim ya Air fresh tu?? yani hajui hata kazi ya udi anachojua yeye n kuleta tu harufu nzuri,na nasikia kuna za haruf tofaut nikimaanisha zile flavour..kuna ukwwwweli hapo??
Naskia ni dawa ukisagwa...je unatibu nini?Najua moja nayo ni kutangatanga
Poa MkuuNipe muda kwenye hili
Mm pia napenda mkuu lkn nashindwa sababu tu yawatu naoishinao ila nikipata uhuru napenda ninukie udi muda wote Kwan kunamadhara yoyote au hizo roho zaweza nidhuru naomba nijuzeKama hufanyi manuizi yoyote ni sehemu ya urembo japo kuna roho unazialika naturally ambazo zinapenda uturi.. Kimsingi viumbe roho hao ni majini wapole wasio na bughudha... Na hukusihi kimyakimya utumie mpaka inakuzoea na kuwa hulka yako... Angalia wanawake wa pwani wanavyopenda udi
Wanatumia kukata harufuMshana nimekua nikiona UDI ukitumiwa na wavuta bangi hii imekaaje? Na pia Mimi hua napenda harufu yake sana na nikifukiza siku yangu hua inaenda vizuri sana na hua nanunua hizi za dukani kwa ajili ya sala japo ni mkristo hunifanya nijiskie amani ya roho vipi kuna lolote nisilolitambua hapa?