Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

Mshana Jr, wanawake wa pwani tunapenda kufukiza UDI special mm, napenda SNA kufukiza UDI alafu naukalia au nachuchumaa ile harufu inapenya kwenye uke huwa napenda SNA. Huwa nanukia vzr huku chini tena hata nikilala na bby anaweza zama chumvini yaan hasikii hata harufu ya mkojo wala kunuka uchi.

Je Niko sawa au itaniletea shida baadae maana nafanya kwa urembo tu wala cjui kama kuna madhara yoyote
 
Haina shida kabisa. Tena mimi ni mtaalam wa kuhakiki naomba mwaliko kwenye hilo
 
Hahahah ninavyo kuogopa ww baba, usije usiku ukanijia na ungo bureeee
Jamani [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Secretary kawahi ofisini. Naingia ofisini ofisi yangu ina harufu ya udi. Nini inaweza kuwa maana yake? Ni dalili njema au mbaya?
 
Mi nikisikia harufu ya udi najihisi vibaya. Mpaka nikamuuliza halafu kajibu labda ni mafuta niliyojipaka. Naomba ushauri kama hii inaweza kuwa na madhara.
 
Kwanini wavuta bangi sikuizi tukiwa tunazichoma tunajiwashia na udi huu mkumbo hadi mimi umenipitia lakn sioni mantiki yake
 
Ana wapangaji wapangaji huyo mwilini mwake, wasiopatana na udi
Au na mi ninao? Maana nilimpa mwanamke mmoja lift akiwa ameombewa na mtu ninayemheshimu. Tulitembea takribani km 33. Kwanza nililazimika kuzima AC na kufungua vioo lakini bado harufu ilinisumbua sana na baadae kumuomba mama ashuke. Maana tayari kichwa kilikuwa kinauma. Ma kawaida kweli sipendi harufu ya udi ila ubani unaowashwa kwa ajili ya kusoma dua haunisumbui. Je, ninaweza kuwa na matatizo ninayohitaji kushughulikiwa? Ushauri tafadhali. Ndo maana nikasema nilikuta harufu ya udi ndani ya ofisi na mtu alikuwa ameingia ni secretary. Sijawa na amani kwamba labda either hakuwa na nia nzuri kwangu au alikuwa na manuizo yake anayoyajua.
 
Back
Top Bottom