bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
chumbani kwangu UDI ni mahala pake... Ila cha ajabu niliingia Na mpenz akasema ooh harufu inampa kizunguzungu, Mara anajihis kuzimia Mara ooh anajihis kubanwa pumzi.... Ikabidi aondoke, MSAADA TAFADHALI mana mi natumiaga tu sijui zina athari kwa wengine