Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Ukiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.

Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.

Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
 
Umeongea vizuri sana aiseeeeeh
 
Ndo ushindi pekee kwa makolo kw msimu huu.

Afadhari mna vijifuraha vya kuokoteza hapa na pale bila hivyo mngelia na kusaga meno.
Hili likiisha tuendelee lile la world cup za vilabu.
Msimu huu umesahau ngao ya jamii?
 
Sasa tukizungumza kispoti Max naye ni mchezaji wa kumhesabia?

Ana mbio gani kwanza, mbona hizo mbio unazozitja sijawahi kumuona nazo?

Lomalisa watasingizia majeruhi ila naye hawezi kupata nafasi kwenye national team ya Congo.

Ni mchezaji wa kawaida sema amekuwa na upepo tu wa hapa na pale.
 

Beki akashindwa kumsaidia keeper zile 5 au
 
Lazima hasira ziwake juu yake aliwakalisha Mbumbumbu goli 2
 
Lazima hasira ziwake juu yake aliwakalisha Mbumbumbu goli 2
Okrah alimfunga Diarra lakini haikufanya mashabiki wa Simba waridhike na kiwango chake.

Wakati sisi tunajikita kum rate mchezaji kwa consistency performance, wenzetu mnam-praise mchezaji kwa kuifunga Simba.

Hiyo ndio tofauti ya maturity ya kisoka kati ya nyie na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…