Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vizuri sana aiseeeeehUkiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.
Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.
Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
kwan ndo mara ya kwnza anaitwa ?Wale wanaocheza kule utopoloni,
Mzengeli ,Moroko na joyce kumbe ni waha wa kibondo bwana...[emoji23][emoji23]View attachment 2854882
Msimu huu umesahau ngao ya jamii?Ndo ushindi pekee kwa makolo kw msimu huu.
Afadhari mna vijifuraha vya kuokoteza hapa na pale bila hivyo mngelia na kusaga meno.
Hili likiisha tuendelee lile la world cup za vilabu.
Sasa tukizungumza kispoti Max naye ni mchezaji wa kumhesabia?Ukiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.
Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.
Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
Wale wanaocheza kule utopoloni,
Mzengeli ,Moroko na joyce kumbe ni waha wa kibondo bwana...[emoji23][emoji23]View attachment 2854882
Hongereni sana Simba kwa kutoa beki kuitwa timu ya TaifaWale wanaocheza kule utopoloni,
Mzengeli ,Moroko na joyce kumbe ni waha wa kibondo bwana...[emoji23][emoji23]View attachment 2854882
Fuatilia mechi zao zilizopita inonga ni regular starter.Inajulikana tu inonga ataenda kuwa muokotaji mipira......akiingia kucheza njoo geto unidai pesa
Ukiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.
Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.
Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
Beki akashindwa kumsaidia keeper zile 5 au
Lazima hasira ziwake juu yake aliwakalisha Mbumbumbu goli 2Sasa tukizungumza kispoti Max naye ni mchezaji wa kumhesabia?
Ana mbio gani kwanza, mbona hizo mbio unazozitja sijawahi kumuona nazo?
Lomalisa watasingizia majeruhi ila naye hawezi kupata nafasi kwenye national team ya Congo.
Ni mchezaji wa kawaida sema amekuwa na upepo tu wa hapa na pale.
Hahaaaaa umeniwahi kwa hii comment. Wazee wa kujitafutizia furaha hao.Ndo ushindi pekee kwa makolo kw msimu huu.
Afadhari mna vijifuraha vya kuokoteza hapa na pale bila hivyo mngelia na kusaga meno.
Hili likiisha tuendelee lile la world cup za vilabu.
Okrah alimfunga Diarra lakini haikufanya mashabiki wa Simba waridhike na kiwango chake.Lazima hasira ziwake juu yake aliwakalisha Mbumbumbu goli 2