Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ila nyie watu khaaa!! 😹😹😹Elia ,Enoko,jesus,Musa,Ibrahim,Noah wote ni fictional charachters kama tu spider man,tom and jerry,kibanga aliyempiga mkolini,pazi na jogoo unaweza kuongezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyie watu khaaa!! 😹😹😹Elia ,Enoko,jesus,Musa,Ibrahim,Noah wote ni fictional charachters kama tu spider man,tom and jerry,kibanga aliyempiga mkolini,pazi na jogoo unaweza kuongezea
Na kwanini awe mweusi hii dharau, kwamba sisi weusi ndio mashetani? 🤣🤣🤣Cha kushangaza unaambiwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika.
Alipo hasi akatupwa mbali MUNGU, kwa maelezo mengi sheni ni mweusi Sasa sijui alibadilika rangi na muonekano baada ya kumkosea Mungu?!!
Vitabu vya dini vina mambo mengi sana ya kuhojiwa. Ni Kama hadithi za kutunga (myth).
Tena unaambiwa wanang'aa kama jua, mikono yao myeupe kama theruji alafu wana mbawa na mikono 😃😃.Hakuna malaika mweusi ? Malaika ni weupe?
DINI baana! 😄
Mzee wa bondeni, mimi nataka kaka mkubwa aje anifafanunulie km Enoko alipaa akakutana na hizo mbingu 9 sijui 7 😹Brother Kiranga Haamini katika uwepo wa hao viumbe na hata kama walikuwepo they don't have any impact on our life. We live once and get forgotten
Ni lazima usiielewe kwa sababu ni stories za uongo za kuungaunga.Kaka mkubwa Kiranga njoo nisipoona uwepo wako hapa hii mada nitashindwa kuielewa.!!
This Mungu story is what we call "manufactured reality".Brother Kiranga Haamini katika uwepo wa hao viumbe na hata kama walikuwepo they don't have any impact on our life. We live once and get forgotten
Jifunze kunyamaza kwa mambo usiyo na elimu nayo...Mhmm!! Mti unaozaa kila aina ya tunda??
Hii hapana jamani haingii akilini hata kidogo.!
Nionyeshe huo mti basi niushuhudie kwa macho yangu mkuu.vifunze kunyamaza kwa mambo usiyo na elimu nayo...
Kwa hii akili ndio sababu wazungu wanamchora shetani ni mweusi😀.. hua mnauliza maswali ya kijanga sanaNionyeshe huo mti basi niushuhudie kwa macho yangu mkuu.
Wewe mwenye elimu ndio utufundishe kwa vitendo ili tutoe tongotongo tusio na elimu.!
Usizunguke sana, nimekataa hakuna mti unaozaa kila aina ya tunda.!Kwa hii akili ndio sababu wazungu wanamchora shetani ni mweusi😀.. hua mnauliza maswali ya kijanga sana
Bila kumsahau super man na BatmanElia ,Enoko,jesus,Musa,Ibrahim,Noah wote ni fictional charachters kama tu spider man,tom and jerry,kibanga aliyempiga mkolini,pazi na jogoo unaweza kuongezea