khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
ChaiHuo wimbo ulinipa mke buashee, maana nilikua nafanya kumuimbia kabisa, demu akaona huyu sio ndio hero mwenyewe, nikaweka ndani mazima mpaka leo ni my wife wangu na tuna watoto wawili
Karibu na vitafunwa mangiiAsante kwa chai
Chai
😀😀Ed Sheeran is lit[emoji177] ingawa ukisikiliza nyimbo zake sana unaweza dhani hupendwi au unachitiwa
Kwamba?Kila mtu ana kipindi chake na kizazi chake!
Asante, sukari ipo?Karibu na vitafunwa mangii
Hapna boss, hujui kama imepanda bei? Kuna muwaAsante, sukari ipo?
Bado unamuimbia?Huo wimbo ulinipa mke buashee, maana nilikua nafanya kumuimbia kabisa, demu akaona huyu sio ndio hero mwenyewe, nikaweka ndani mazima mpaka leo ni my wife wangu na tuna watoto wawili
Mkuu huwa namuimbia hata watoto nawaiambia, mapenzi bado motoooBado unamuimbia?
Au ulikua utoto
Japo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is ❤Nadhani ana nyimno nyingi ambazo ni romantic, si unajua hawa wadada wanependa soft songs, mfano Hero, My number one, hizo ni nyimbo ambazo ziliwabamba madada wengi sana