Kama itakupendeza, naomba utuwekee orodha ya mafeminist waliopo JFShe worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo.
Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba
Kuna la kujifunza enyi wanawake wa instant gratification
View attachment 3626904
Weekend njema
And that's a little thing women miss nowadays... Ni ile toxic femininity ambayo wanamezeshwa.Wakati mwingine tunachohitaji ni mtu kukwambia it's okay you can make it
Hiyo ndio raha ya kukutana na mtu sahihi atakuvumilia haijalishi changamoto unazo pitia
Woiii! Pole Yako πNina wasi na hii ID... Na hilo mkaliangalie
Fatilieni nawakaribisha sana.Pole ya nini tena?
Kwa hiyo baadaye huyo mwamba alitoboa?She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo.
Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba
Kuna la kujifunza enyi wanawake wa instant gratification
View attachment 3626904
Weekend njema
Ohoo uko kule mahaba yalipo anzia sio?Fatilieni nawakaribisha sana.
Niingie JF kwa Raha zangu,bando langu,Sijaikosea serikali halafu limtu lililokosa kazi lianze kunifuatilia π π π Niko Tanga,Muheza ndo nyumbani kwetu.Karibu sana.
Haswaaaa ndo nyumbani.Ohoo uko kule mahaba yalipo anzia sio?
Ndio, jamaa alitoboa.Kwa hiyo baadaye huyo mwamba alitoboa?
Finding such a woman kwa waTz utasubiri sana. Hata akijitahidi ataishia kuku cheat halafu baadaye muendelezo unakuwa mgumu
Wewe si umesema una wasiwasi na ID yangu ndo nakurahisishia Sasa. Usitumie Nguvu sijaiba Cha mtu.Njoo nyumbani kwetu.Sio Kila mtu anaishi kwa kujiiba Bro.Mnataka kuwa piga watu vitu vizito wewe pamoja na mzee wako?
Hapana siku maanisha niliona wapuuzi wamekutag ndo nikastuka vp tena toto la kitanga hili?Wewe si umesema una wasiwasi na ID yangu ndo nakurahisishia Sasa. Usitumie Nguvu sijaiba Cha mtu.Njoo nyumbani kwetu.Sio Kila mtu anaishi kwa kujiiba Bro.