Enyi feminists mnaodhani wanawake wazungu hawawavumilii waumme zao piteni hapa.

Enyi feminists mnaodhani wanawake wazungu hawawavumilii waumme zao piteni hapa.

Hapana siku maanisha niliona wapuuzi wamekutag ndo nikastuka vp tena toto la kitanga hili?
Haya ni maisha ya JF tu,tunaenjoy na watu ambao zinaiva.
Ukiwa offline unaendelea na ratiba zako. Waache tu wanitag sio kitu kibaya.
 
Haya ni maisha ya JF tu,tunaenjoy na watu ambao zinaiva.
Ukiwa offline unaendelea na ratiba zako. Waache tu wanitag sio kitu kibaya.
Hata kama ni utani bwana kuna issue zingine sio za kufagilia Zina nuka yaani. And a fine girl like you kusapoti inakuwa haija kaa poa
 
Kwanini wanawake wengi wanaharakati kwa hapa Tz wanatokea kaskazini
 

Attachments

  • 20260709_012941.jpg
    20260709_012941.jpg
    432.3 KB · Views: 12
Afrika hakuna feminist women. Huo usawa wa kijinsia wenyewe wanautetea na kuukana kwa kuangalia masilahi yapo upande upi.

Wanawake wa Afrika hawataki gender equality, wanataka selective equality, yaani wawe wanachagua ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume. Hiyo ni ili waweze kubadilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi.

Pale ambapo gender equality inawanufaisha wanaipiga vita patriarchy. Pale ambapo patriarchy inawanufaisha wanaikana gender equality. Hawawezi kuchagua kimoja kwa ujumla wake kwa sababu wanataka benefits za kila upande lakini roles zake hawazitaki
Ndo upuuzi mwanaume anaye jitambua hautaki

Na kuna wimbi la vijana wa kiume hawalijui hilo so wanaishia kuwa targets

Hiyo selective equality ndio uhalisia wenyewe they look where they can succeed tto be parasites and where they are supposed to act patriarchy comes to shove.

Jamaa unajua kiuundani sana hii michezo na hii awareness inapaswa kuwa reminded more often
 
She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo.

Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba

Kuna la kujifunza enyi wanawake wa instant gratification

View attachment 3626904

Weekend njema
Hapo yuko kazini. He isn’t necessarily giving a testimony!
 
Hapo yuko kazini. He isn’t necessarily giving a testimony!
I don't think so, there is authenticity in his content na wazungu mara nyingi huwa hawa make content for views siku hizi... All they do is share their personal life
 
Back
Top Bottom