passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Hii haijalishi imetoka kwa nani? Ni maneno ya nani?Haijalishi najitosheleza au sijitoshelezi, Ameamua kugawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haijalishi imetoka kwa nani? Ni maneno ya nani?Haijalishi najitosheleza au sijitoshelezi, Ameamua kugawa
Manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo...
Kazi ipo kwako wewe ambaye unaongozwa na mwili na kukariri neno bila kulifanyia kazi...
Wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanajua Nabii wa kweli na wa uongo...
Nataka nijue hao malaika wanaleta ulinzi wa namna gani? ni kiroho kama mnavyosema au kimwili?
Ukishaona mtu anajiita nabii halafu anaongoza kanisa kama muhubiri, hapo changanya na za kwako...
Mungu hayupo.
Dini ni utapeli.
kwanini ya kiroho peke yake? Kwahyo anaacha muumini anapigwa risasi nakufa yeye analinda roho tu?ili kuelewa jukumu la malaika, ni muhimu kutambua kwamba uwepo wa Mungu Malaika Wanashiriki katika Matukio ya Kiroho:
sasa kwanini mkuu uniwekee maneno yako🤣?Haya ni maneno yangu mkuu, baada ya kupitia maandiko mbali mbali, nimeambulia kuelewa hayo maneno.. Mungu alicho maanisha.
Nakwambia hivi 👇
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu.
Roho ni nini?
Vyote hivyo ni nadharia za kufikirika tu.
Wanasajili vitendo kivipi?malaika wanaosajili vitendo vyetu na kutoa ulinzi. Malaika wanaweza kuchukua jukumu la kuhifadhi mwili na roho, lakini ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayejua kikamilifu majukumu yao.
Mungu anasema mwili si kitu, ila nafsi/roho ipo na malaika wako akulindaye siku zote, Maana mwili utazikwa mavumbini, Kwa kufa hapa duniani ni lazima, iwe kwa njia ya kucheka au kwa njia ya kupigwa risasi.kwanini ya kiroho peke yake? Kwahyo anaacha muumini anapigwa risasi nakufa yeye analinda roho tu?
Huo ujasiri wa kujiita mwenye nguvu zote ni angle ya roho tu?
Kwa mantiki hii ule uwezo wa vitu vyote tunamtoa maana yeye ana deal na roho tu kwa madai yako hapo. Hivyo anakosa sifa ya mwenye nguvu zote.Mungu anasema mwili si kitu,
Malaika wako akulindaye siku zote., ila nafsi/roho ipo na malaika wako akulindaye siku zote,
Infropreneur,Wewe upo halafu unadai Mungu hayupo?. Ndio maana Biblia ikasema mpumbavu husema Mungu hayupo.
Haya maneno alikuwa anayasema nani? Na ni watu gani hao?Kwa mfano, Yoshua 24:15 (NIV) inasema, "Lakini mimi na watu wangu tutamuhudumia Bwana."