Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Dah..pole sana 🀣
 
Umeongea kwa hekima sana mkuu
 
Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
Sio Muslim tu...Kama unanuka pombe au sigara...Lazima ukae mbali na mimi.

Kama ni eneo lako la kujidai...naondoka mimi nakuacha na starehe zako
 
Haipo ila tu kukera wengine sio ustaarabu


Kukera wengine kivipi??-- mimi nimefunga na mtu mwingine hakufunga na anakula mbele yangu mimi inanikera kitu gani??.

Nyinyi mnataka kuufanya Uisilamu uwe ni dini ngumu sana na watu waichukie.
 
Wengi wanafunga bila kujua wanafunga kwasababu gani.......... yaani wanakuwa kama wamefungwa
 
Anafungua ya nini wakati hatoi huduma?
Biashara huria...ni maamuzi yake.

Wewe elewa...

Hauzi vinywaji mchana na hiyo ni kanuni yake kila ifikapo mwezi wa Ramadhan.

Nenda maduka mengine...mbona yapo mengi.
 
Sijui kwa nini wanafungua biashara ikiwa hawauzi hii dini ya haki hii...vibaraka wa waarabu afu arabs they never mind them.

Piganeni jihad basi kama ni nungwa kwa kafiri..

Itoshe kusema waafrika wanaharibu uislamu ambao ulishastarabika kama zilivyo dini za ukristo, uyahudi na ubudha huwezi kujiuliza why dunia inauchukia uislamu, sababu ya dunia kuchukia uislamu ni sababu siyo dini iliyo staharabika na kuheshimu dini zingine duniani wao ndio dini ya haki kwa mtu S.w.a
 
Waislamu hawaheshimu dini nyingine duniani kama budaa, kristo, wayahudi, induism.

India wanawake wakiislamu wavaa ijabu wanapiga na mayai viza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… muslim semeni kwa nini???
 
Kukera wengine kivipi??-- mimi nimefunga na mtu mwingine hakufunga na anakula mbele yangu mimi inanikera kitu gani??.

Nyinyi mnataka kuufanya Uisilamu uwe ni dini ngumu sana na watu waichukie.
Pombe sio nzuri sehemu za public bro (ukiacha bar na clubs). Huwa inakera ukute mtu kapanda daladala amelewa.
 
Wafanya kazi wa bakhressa na Azam kwa ujumla wanajionaga kama last born wa MUNGU na kujikuta wao ndie wanajua sana kuishi utakatifu hapa duniani kumbe ni roho mbaya tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti lastborn wa Mungu jmn
 


Hapo unakosea sana mkuu, unapaswa ujue kwamba kuna Dini ya uisilamu na Wafuasi wa dini ya Uisilamu, unatakiwa uuhukumu dini yenyewe na sio kuhukumu dini kupitia matendo ya Wafuasi wake, mfano Wapo Wakristo wengi mashoga je ni sawa tukihukumu Ukristo kwa hao wafuasi wake kuwa mashoga??! nadhani sio sawa.

Sasa kabla ya kuhukumu dini yoyote inakupasa uchunguze mafundisho yake yanasemaje, kwa suala hili yakupasa uuchunguze Uisilamu kupitia Qur'an tukufu na uone Uisilamu unasemaje juu ya dini zingine, nakupa hiyo Home work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…