Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

Watu Wana hela lakini lazima watembeenna walinzi, kuonekana tunkwenye magari yao wanatembea usiku au wamejificha, na kubadili plate Number.

Sisi tukiwambia hawana Amani wanasema no wivu wa Sisi maskini🤣
Kabisa hakuna amani sehemu ambayo haupo huru, uhuru wa kweli ni ule unakuwa free pekee yako sio kila muda una walinzi, magari yenye tinted, kubadilisha hizo plate number na kadhalika.

Wanasema tunawaonea wivu wakidhani kujipa moyo lakini wengi wanatamani sana ule uhuru wao wa mwanzo.
 
ULIPOONA NENO MZEE NIKASHAWISHIKA KUSOMA ILA NAKUPINGA KWA MENGI

Japo hoja dhaifu zaidi ni mtu kuwa shoga au msagaj kwa upumbav wake alaf useme kafara? au huoi et iwe kafara

WAZEE MTETEENI MZEE MWENZENU KWA HOJA
 
Akhsante brother.
 
Kama ni mzee basi unazeeka vibaya
yani ni mzee wa ovyo!
ATUAMBIE KWANZA UTAJIRI WA KUIBA MALI NI GIZA AU NURU NA MBONA HAJAUTAJA.

yaan kwamba kataa ndoa watakuw wametolewa kafara

DUNIANI HAPA MAMBO MENGI KUNAVITU MPAKA UNAKUFA UNAWEZA USIVIJUE
 
Mkuu,

What is even the point here?

Kwa bahati nzuri au mbaya sina uzoefu sana wa mambo ya kijinga, ila wabongo wengi wanapenda sana uchawiuchawi. And that is a problem.

Kwa hiyo kama ujumbe ni kutahadharisha watu dhidi ya hayo mambo, nakubaliana na hoja.

Personally, philosophically, I don't believe in witchcraft.

This is a desperate attempt of an ignorant population to fight the vagaries of life and the human condition.

It is a sign of failure. Government failure, education system failure, societal failure, cultural failure, ethical failure.

Failure everywhere.
 
usijiingize kwenye makafara na stori za sijui zimbabwe na malawi kuna utajiri.. utakufa vibaya anagli unajiona. kwa hayo machache nadhani kuna vitu wapambanaji mtakuwa mmevipata.. nivile tu hitifaki nashindwa kutoa mifano ya waziwazi ya majina ya watu..upo msururu wa watu maarufu na wasio maarufu naufahamu.. ila siwezi kutaja hata kwa code, ni hatari kisheria kwangu pia..jueni tu hayo,siwezi kusema zaidia📌🔨💪🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…