Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

makampuni mengi ya wazawa wa hapa bongo maboss wanastress na mikopo yaani ukizingua tu hasira zinamaliziwa kwako na kamuni za waasia wanachukulia wabongo kama watumwa yaani cheap labour !

unaweza kuta mshahara wenyewe ni laki 3 then mtu anataka ufanye kazi kama punda eti ufanye kazi kama wazungu hahahah ebu nendeni kwanza kaulizeni mishahara ya hao wazungu mnaowachukulia kama reference then ndio mtajua kampuni nyingi hapa bongo ni za kinyonyaji sana..!
Ishu ya mshahara inategemea wewe unazalisha nini ni kama kwenye timu ya mpira umuhimu wako mshahara mkubwa
 
Inawezekana jamaa alifanya kazi sana akapumzika bc hapo hapo boss akaja hvy akamuona ni mvivu
Ahahahah...ee bwana kuna watu hawana bahat sana kama sio wana bahat mbaya.

Wahi siku zoote bosi anachelewa ila kila siki moja moja ukichelwa bosi unamkuta na anakuona 😂😂

Kesha siku mzima piga kazi bosi hayupo ila siku umesinzia tu bosi anaingia anakukuta umelala..😂😂😂

Kila day uko na mood ya ka na unaleta output ila bos anakua katingwa siku umezingua kidogo tu kumbe hiyo kaz katoa bosi direct 😂😂

Aaahh haya mambo haya
 
Mimi Sina hamu na makampuni,walinitimua kwa kuibiwa betri na hela nibank milioni 36,000kweli kichaa hachagui pa kupiga!
Mimi Sina hamu na makampuni,walinitimua kwa kuibiwa betri na hela nibank milioni 36,000kweli kichaa hachagui pa kupiga!
Andika vzr kwanza mkuu, unaenda wapi?
 
Ahahahah...ee bwana kuna watu hawana bahat sana kama sio wana bahat mbaya.

Wahi siku zoote bosi anachelewa ila kila siki moja moja ukichelwa bosi unamkuta na anakuona 😂😂

Kesha siku mzima piga kazi bosi hayupo ila siku umesinzia tu bosi anaingia anakukuta umelala..😂😂😂

Kila day uko na mood ya ka na unaleta output ila bos anakua katingwa siku umezingua kidogo tu kumbe hiyo kaz katoa bosi direct 😂😂

Aaahh haya mambo haya
Mpaka unahisi una kalaana kanakutafuna 😂
 
Ujue mdogo angu ukiwa una comment kwenye kama haya unatakiwa uwe unanifikiria na mimi kaka yako na naamini unaelewa nachomaanisha..😂😂
experience is the best teacher bro kwa hiyo sirembi kitu na hata hivyo, sio muda unatoka nje ya hizi comments kaka 😁😁
 
Nilifanya kazi sehemu flani,
Sikua na bahati..

Kila nikisema ndio nipumzike Ndio nakutwa,
Yaani ile unakaa tuu, unashanaa huyo..
Mpaka nikachunguza pale site kuna cctv?

Itakua nilirogwa.
 
Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi.

Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa, ukifanya msala unaweza kubadilishwa kituo ama kusimamishwa kwa muda, ni mpaka a ufanye makosa mazito sana ndio utatimuliwa.

Tukija kwenye biashara zetu hizi watu binafsi ama wenye makampuni yao kuweni makini sana, makampuni haya yanaendeshwa kwa faida na unapoonekana unatia dosari kwenye faida aidha kulipwa mshahara wakati hufanyi kazi, udokozi, kupumzika sana, n.k. basi wala hucheleweshwi
Upo sahihi kabisa..

Chezea mshahara usichezee kazi.
 
Hii ni kanuni ninayo itumia hata Mimi maana nimejiajir kwa hyo mtu akileta ujinga kwenye kaz ni kutimua tu ,maana Mimi napambana kukuza brand ije kenge moja iniharibie nirud kwenye msoto hilo haliwezekani kazi lazima iheshimiwe sio unapewa kaz unaifanya hivyo hovyo wateja wakikimbia ndo unaanza kusema umelogwa .
 
Nami huenda nikafata nyayo zako, kuna kijana wa kazi nimemweka sehemu baada ya aliepita kumuhamishia duka kubwa, yani huyu wa sasa wiki nzima kauza vitu viwili tu, nimefatilia naona yupo bize na stori kwa majirani na kuwahi kuondoka dakika 10 kabla ya muda tulioelewana
 
Hakika… vijana wakubali kupambanan huku kampuni binafsi maboss wanagopa msoto ivyo wapige kazi tuu uzuri siku hizi kampuni binafsi zina offa na bonasi kwa wafanyakazi
 
Nami huenda nikafata nyayo zako, kuna kijana wa kazi nimemweka sehemu baada ya aliepita kumuhamishia duka kubwa, yani huyu wa sasa wiki nzima kauza vitu viwili tu, nimefatilia naona yupo bize na stori kwa majirani na kuwahi kuondoka dakika 10 kabla ya muda tulioelewana
Muite umuelekeze asipojirekebisha mwambie utachukua uamuzi mgumu ,tusidanganyane hapa kujiajiri ni kugumu mistake ndogo tu wapinzani wanachukua ugali wako huku unaona
 
Back
Top Bottom