Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Acha kukosa maarifa, Jehova, Mulungu, Mungu, God, Adonai, Allah, nk hayo ni majina tu kati ya mengi yakimaanisha kitu kilekile.

Watu huita kwa kilugha chao halafu wewe unadhani kuita kwa lugha ya kiarabu basi ni tiketi ya mbingu. Utumwa wa fikra, mtafute Mungu wako toka moyoni, achana na ufakara wa maarifa
Bora wewe umeandika kinachoeleweka
Naona watu wanadhihakiana na porojo tu.
 
Waislamu huwa hamnywi pombe sasa hiyo mito ya pombe itakuwa ya kazi gani

Kuhusu hao mabikra 72 ni sawa maana mnapenda sana chini
 
Mkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.

Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!

Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
Mie siku hizi nahisi kupata dhambi sana kuhusiana mambo ya dini.

Maana huko kwa pepo yetu sie waislam tunaambiwa kuna mabikra na kuna mito ya pombe isiyolewesha.

Maana yake huko itakuwa ni kulewa na kupiga miti tu au nimeelewa vibaya...!!
 
Se
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Sema nin mkuu, usihangaike kbsaa tia tuliii!. Wakristo hawana shida na pepo inayomuhusu huyo Allah subwana uwataara, maana mbingu yao haina mabkraa, so kaa kwakutulia kila mtu atapata haki yake sawa na uhalisia ulivyo na sio vinginevyo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Hamna Mkristo ataenda peponi, peponi kuna mapepo wachafu. Wakristo wataenda mbinguni, kuomba, kusifu na kuabudu
 
Mwanaume anapewa mabikra 72 na mto wa pombe na kisiwa Cha nguruwe.

Sasa wanawake watapewa Nini au nao watapewa ndume 72 na kinena Cha mnato kama Binti mdogo au inakuaje hapo ?

Mbona raha zipo upande wa wanaume tu ??
 
Mkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.

Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!

Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
hujawahi kusikia kuwa peponi hakuna Usiku wala mchana? Hakuna kifo ni maisha ya amani salama. Wala hakuna tena kuhesabu miaka ni mwendo wa kuishi milele tu.

Kuhusu wanawake 72 wala usiwe na wasiwasi kwasababu watu wote wataingia peponi wakiwa na umri wa miaka 33. Hakuna kuzeeka yaani ni kuwa kijana milele. Pia mwanamume mmoja atapewa nguvu sawa na za wanaume mia moja wa ulimwengu huu.Ina maana mume atakuwa na uwezo wa kuwaingilia wake zake wite pasi na wakaridhika pasi na kuchoka.

Silimu uwe muislam ili ukapate uzima wa milele katika maisha baada ya kifo.
 
Mwanaume anapewa mabikra 72 na mto wa pombe na kisiwa Cha nguruwe.

Sasa wanawake watapewa Nini au nao watapewa ndume 72 na kinena Cha mnato kama Binti mdogo au inakuaje hapo ?

Mbona raha zipo upande wa wanaume tu ??
wanawake waliotoka duniani na kuingia peponi watakuwa wanawake wazuri sana. Hakuna ambaye hataridhik kwa yale atakayoyapata peponi.
 
Wazee wa mabikra 70 na mito ya pombe naona mnajifariji
Wewe utayajulia wapi mambo ya peponi dini yenyewe umeletewa na Wazungu
Sasa Wazungu na mambo ya peponi wapi na wapi na ndio sisi waislam tukikuhadithieni mambo ya peponi mnashangaa sana

Hapo Yesu anawambia waislam wenzake kama uliacha mke mmoja Duniani utapata wake mia peponi

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Na hapo Yesu anasema hataki pombe ya Dunia anasubiri pombe ya peponi
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
 
Wakristu hawatarajii kuingia peponi. Peponi wanakaa Mapepo. Wakristu wanaingia MBINGUNI ( HEAVEN) na wengine wanaotarajia kufanya ngono na majini jike 72 wao watakwenda kwenye makazi ya MAPEPO ambalo hawatakaa wauone uso wa Mungu Bali adhabu ya milele
YESU ANASEMA KUWA ATAINGIA PEPONI KWA MUJIBU WA BIBLIA

LUKA 23:43

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi."

Hivyo waislam pamoja na YESU tutakuwa pamoja PEPONI
 
Peponi ,Kuna nini,,,,,,,,,,,,,peponi Allah kawaahidi waja wake wanawake 72 Mabikira, mwanaume kuongezewa nguvu za kiume mara 1000, moto ya pombe inapita ukinywa tu bilauri Moja unalewa miaka 42 Sasa kwenye huu mtaa wa peponi Mimi nafanya nini Ayse!!!??!!
 
Imagine dini inahamasisha kuwa kutakuwa na mitombano huko mbinguni aisee
 
Mkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.

Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!

Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
Peponi hakuna Usiku wala mchana

Peponi hakuna Jua wala mwezi

Peponi hakuna siku,mwezi wala mwaka ni maisha ya milele tu.

Peponi hakuna kifo.

Ni maisha ya Raha ambayo jicho halijapata kuona,sikio halijapata kusikia wala akili haijapata kuwaza.

Mtu wa chini yule wa mwisho kabisa atapewa mara kumi ya ufalme wa wafalme wa dunia hii.

Kuhusu wanawake wala usishtuke kwasababu Mungu ameumba wanawake wa peponi wanaitwa (Hur al ayn) ni wazuri jicho halijapata kuona na pia wanawake wa ulimwengu huu ambao watafuzu kuingia peponi watakuwa warembo sana zaidi ya hata hao Hur al ayni. Watakutanishwa na waume zao ambao nao watakuwa wamefuzu kuingia peponi .

Mwanaume mmoja wa peponi atakuwa na nguvu sawa na wanaume mia moja wa ulimwengu huu. Hivyo kuwatimizia haki wake zake huko peponi haitakuwa jambo gumu hata kidogo.

Karibu katika Uislam ili usalimike na adhabu kali za moto wa Jahannam
 
Peponi ,Kuna nini,,,,,,,,,,,,,peponi Allah kawaahidi waja wake wanawake 72 Mabikira, mwanaume kuongezewa nguvu za kiume mara 1000, moto ya pombe inapita ukinywa tu bilauri Moja unalewa miaka 42 Sasa kwenye huu mtaa wa peponi Mimi nafanya nini Ayse!!!??!!
Pombe ya peponi haileweshi ,haina harufu mbaya na wala haimfanyi mnywaji kuumwa kichwa wala kuropoka maneno ya kipumbavu.

Suala la kulewa miaka 42 halipo.
 
Back
Top Bottom