Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Wazee wa kobazi wao huwa wanajihesabia haki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wewe umeandika kinachoelewekaAcha kukosa maarifa, Jehova, Mulungu, Mungu, God, Adonai, Allah, nk hayo ni majina tu kati ya mengi yakimaanisha kitu kilekile.
Watu huita kwa kilugha chao halafu wewe unadhani kuita kwa lugha ya kiarabu basi ni tiketi ya mbingu. Utumwa wa fikra, mtafute Mungu wako toka moyoni, achana na ufakara wa maarifa
Allah ndiyo msela wa wapi?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Kwangu pepo ni ya mapepo na mapopo.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Mie siku hizi nahisi kupata dhambi sana kuhusiana mambo ya dini.Mkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.
Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!
Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
Sema nin mkuu, usihangaike kbsaa tia tuliii!. Wakristo hawana shida na pepo inayomuhusu huyo Allah subwana uwataara, maana mbingu yao haina mabkraa, so kaa kwakutulia kila mtu atapata haki yake sawa na uhalisia ulivyo na sio vinginevyo.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Hamna Mkristo ataenda peponi, peponi kuna mapepo wachafu. Wakristo wataenda mbinguni, kuomba, kusifu na kuabuduWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Wewe waumia nini?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
hujawahi kusikia kuwa peponi hakuna Usiku wala mchana? Hakuna kifo ni maisha ya amani salama. Wala hakuna tena kuhesabu miaka ni mwendo wa kuishi milele tu.Mkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.
Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!
Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
wanawake waliotoka duniani na kuingia peponi watakuwa wanawake wazuri sana. Hakuna ambaye hataridhik kwa yale atakayoyapata peponi.Mwanaume anapewa mabikra 72 na mto wa pombe na kisiwa Cha nguruwe.
Sasa wanawake watapewa Nini au nao watapewa ndume 72 na kinena Cha mnato kama Binti mdogo au inakuaje hapo ?
Mbona raha zipo upande wa wanaume tu ??
Acha tujifariji kwasababu hatuna chembe hata moja ya shaka juu ya yale tuliyohaidiwa ba Mola wetu mtukufu.Wazee wa mabikra 70 na mito ya pombe naona mnajifariji
Wewe utayajulia wapi mambo ya peponi dini yenyewe umeletewa na WazunguWazee wa mabikra 70 na mito ya pombe naona mnajifariji
YESU ANASEMA KUWA ATAINGIA PEPONI KWA MUJIBU WA BIBLIAWakristu hawatarajii kuingia peponi. Peponi wanakaa Mapepo. Wakristu wanaingia MBINGUNI ( HEAVEN) na wengine wanaotarajia kufanya ngono na majini jike 72 wao watakwenda kwenye makazi ya MAPEPO ambalo hawatakaa wauone uso wa Mungu Bali adhabu ya milele
Peponi hakuna Usiku wala mchanaMkuu kajitoe muhanga ili uwawahi mabikra 72 huko kwenye mbingu ya Allah. Huko 24/7 itakuwa ni pepo yenye michakato ya ngono zembe tupu.
Ebu jaribu kufikiria ukitaka kupiga show na demu mmoja inakuchukua muda gani! 🥺 Sasa hao 72 utakuwa unapiga show na mmoja mpaka watatu kwa siku siyo!
Basi katika pepo hiyo kutakuwa hakuna muda wa kusifu na kuabudu, bali itakuwa ni maisha kingono tupu. Na sijui itakavyokuwa hatma ya akina mama waongovu kwa Allah. Sijui watakuwa nao wakishenyetwa na wakina nani!
Pombe ya peponi haileweshi ,haina harufu mbaya na wala haimfanyi mnywaji kuumwa kichwa wala kuropoka maneno ya kipumbavu.Peponi ,Kuna nini,,,,,,,,,,,,,peponi Allah kawaahidi waja wake wanawake 72 Mabikira, mwanaume kuongezewa nguvu za kiume mara 1000, moto ya pombe inapita ukinywa tu bilauri Moja unalewa miaka 42 Sasa kwenye huu mtaa wa peponi Mimi nafanya nini Ayse!!!??!!