Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

wanawake waliotoka duniani na kuingia peponi watakuwa wanawake wazuri sana. Hakuna ambaye hataridhik kwa yale atakayoyapata peponi.
Sawa ila lazima wawe na nyege sasa watasaidiweje ikiwa waume zao wamepewa bikra 72.
 
YESU ANASEMA KUWA ATAINGIA PEPONI KWA MUJIBU WA BIBLIA

LUKA 23:43

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi."


Hivyo waislam pamoja na YESU tutakuwa pamoja PEPONI
Soma ya kiharmenia au kizungu uone palipoandikwa peponi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
downloadfile.jpg

Huyu ndiye Allah mwenyewe,mungu wa KIPAGANI [aliyeanzia misri],mungu mwenye ahadi za kishetani kwa waumini wake [ngono kwa mabikra na kunywa pombe].
Ni lini mtaukataa ujinga na kuwa werevu hata mgundue kuwa mnamwabudu shetani?
downloadfile.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Dogo, shetani (Allah) anaabudiwa na Waisalm tu na ni kwa sababu hawajuwi ukweli wa dini yao kuwa ni ya mashetani / majini
 
H
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Hakuna mkristu anayekwenda peponi. Peponi ni kwa wapagani wasiomuabudu Yesu. Wakristo wanakwenda mbinguni mahali patakatifu.
 
Peponi hakuna Usiku wala mchana

Peponi hakuna Jua wala mwezi

Peponi hakuna siku,mwezi wala mwaka ni maisha ya milele tu.

Peponi hakuna kifo.

Ni maisha ya Raha ambayo jicho halijapata kuona,sikio halijapata kusikia wala akili haijapata kuwaza.

Mtu wa chini yule wa mwisho kabisa atapewa mara kumi ya ufalme wa wafalme wa dunia hii.

Kuhusu wanawake wala usishtuke kwasababu Mungu ameumba wanawake wa peponi wanaitwa (Hur al ayn) ni wazuri jicho halijapata kuona na pia wanawake wa ulimwengu huu ambao watafuzu kuingia peponi watakuwa warembo sana zaidi ya hata hao Hur al ayni. Watakutanishwa na waume zao ambao nao watakuwa wamefuzu kuingia peponi .

Mwanaume mmoja wa peponi atakuwa na nguvu sawa na wanaume mia moja wa ulimwengu huu. Hivyo kuwatimizia haki wake zake huko peponi haitakuwa jambo gumu hata kidogo.

Karibu katika Uislam ili usalimike na adhabu kali za moto wa Jahannam
Hivi upo serious kabisa au?
 
Back
Top Bottom