Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

Au muitengeze then akupe kiasi kidogo.... Maana huruma inakuja ana mkopo na ndiyo biashara inayomuingizia kipato muone huruma mlegezee
Aisee ni ananyodo za kipuuzi balaa kumbe kakopa Kwa wahindi huko. Nitampunguzia ila nataka saluni ifungwe kama miezi miwili hivi... Ajue kuheshimu wanaume, ujue sisi tunahuruma sana Kwa wanawake, kuikweli angekubali nimlipe nusu Lile dryer lake Mimi hii simu nisinge mdai kabisaa. Ila yeye akaleta marinji rinji mzee na Mimi namletea hayo hayo ili aune utamu wake.
 
Dwaswo Ke ni ke tu hawawezi fikia Lever yetu wakae kando na usimlegezee
 
Alye ua kwa upanga naye atakufa kwa upanga
 
Kwa taaluma yangu ya u refaree wa masumbwi hilo pambano ulilopigana ukavunja vifaa vya saloon pambano hilo ulipigwa wewe kwa technical knockout

Pili unaonekana wewe ni mkorofi ndo maana unaugomvi na kila mtu wa kwanza aliekupiga ukavunja vifaa vya watu wa pili kugombana nae huyo dada sasa siyo fresh kuishi kwa uhasama usijidai we ni Gangwee sana jamii itakuchoka.
 
Bwashee hii ni story kama story nyingine.
Najiuliza haya matukio kufuatana
Ni kosa kumpiga mwenye frem amekuja kukudai
2. Mwenye frem ameisha kimbia, kwa nini umfuate mpaka kwa jirani.
3. Umevunja drier yake ambayo amepata kwa mkopo, na wewe unataka umlipe nusu. Nusu nyingine atoe wapi?
4. Hiyo dada anajua alikulipisha drier tena kwa kupelekana polisi alikuwa anatafuta nini kwako.
5. Kwa nini ashike na mpakà aodoke na simu ya hasimu wake?
Ni hadithi mzuri ya kufundisha, ila huwa yanayokea hayo.
 
Na jina anaitwa Ashura, watundu hao...

Jamaa akikatikiwa mauno mawili matatu atasamehe hio hela na kumpa kale kajenereta.

Ila mwanaume kuwa kwenye ligi na dem ni upuuzi, mle tunda yaishe,
Penzi kitovu cha uzembe.
 
Wewe ndo mwanaume sasa, nakupongeza sana mkuu. Weka namba ya simu nikuwekee chochote kitu ujipongeze.
 
Mwezi uliopita kulitokea kutokuelewana kati yangu na mwenye frem
Na huyu dada hatuiviiiiii.. yani elewa maana ya hatuivii.
Mungu si zakayo aisee naye jana si kayatimbaa.
"Hiyo simu nakuachia baki nayo naitaka ikiwa mpyaa nafikiri bei yake umeiona kwenye risiti hapo"
Wewe una:

nongwa


/nɔngwa/


hali ya kuwa na mfundo wa moyo


hali ya kumchosha mtu kwa maneno mengi


Kisha una :


gubu


/gubu/


hali ya kutokuwako utulivu


Mwisho wewe ni :


limbukeni



/limbukɛni/



mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza


 
Mkazie alipe hakuna huruma
 
Una uhakika angekuwa ni mwanaume mambo yangekuwa tofauti? Sioni suala la jinsia limeingia aje hapa!
 
Usilipe ubaya kwa ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…