Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswazii wamekutana mbagalaa kuu.
Nimecheka had baas, woiiiiih.
 
Wanawake wote leo mpo nyuma ya mwenzenu.
Sisi Maustaz tunasema Al Qiswas Haq yaani kisasi ni haki yako. Japo kusamehe ni bora zaidi.
Mtoa mada shikilia hapo hapo, usilegeze.
Bora wewe umenielewa mtaalam, huyu ni lazima apate fundisho siku nyingine ikimtokea Kwa mtu mwingine ajue what goes around comes arround
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Na ameshasarenda.... analalialia tu kila alinipigia simu, namsikiliza anavyolia alafu naitaka bila kusema kitu..,.. na namba yangu sijuii kaitoa wapi maana hata hatukuwa na mawasiliano hata kidogo.
 
Kwa namna yoyote ile epuka ugomvi wa aina yoyote na jirani yako,, nyuma ya hizi biashara kuna mambo mengi mno ambayo najua yako juu ya uwezo wako... Hivo visasi sio vizuri katika maisha
SIdhani kama ni kisasi zaidi ya jamaa anadai haki yake kwa uzuri tu na kituoni amekwenda kujiweka sehemu salama ili awe na uhakika wa kulipwa pesa yake .

Labda jamaa aondoe hiyo 500k na amwambie huyo dada akamnunulie simu mpya aje akiwa na risiti kamili ilo waachane kwa amani.
 
And vice versa is true

Hakuna mwanamme anaeweza kumshinda vitimbi mwanamke.

Mwanamke hajimwambafai kabisa lakini saa zote yupo vitani bila wewe kung'amuwa.

Huyo mleta mada kwanza story yake haiingii akilini, ni porojo za JF tu.

Tukio oimepangika script kabisa litakuwaje sio tamthilia tu? Fikiri.

Kwanza mada iloyopo ni uongo mtupu. Polisi hawashughuliki kabisa na kesi za madai.
 
Pole na hongera sana ila nakupa ushauri mkuu, kama haya uliyoyasema ni ya kweli hiyo ni hatua mungu anataka kukuvusha na ukifanikiwa kuvuka maisha yako yatabadilika kwa hali ya ajabu. Usikubali huo mtego wa malipizi....... fafakari
 
Noma Sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
We need part 2 of the story
 
mwambie akupe firigisi,then chapa mpaka iloe alaf achana nae!!!
 
Muuwe qmmk hamna kumuonea huruma mwanamke akipata nafasi ya kukunyoosha hakuonei huruma kwahiyo na wewe hakuna kuweka huruma hapo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ