Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

So huyo dada alivyomlipisha jamaa laki tatu ni sawa ila jamaa kudai simu yake sio sawa na ukiambiwa huna akili hutaki🚮😂😂
Porojo tu huyo.

Story za mtandao tu hizi, 99% story yake haina ukweli.

Paukwa pakawa, ukweli njoo, uongo njoo, utam kolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…