Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

Nakuunga mkono japo hajakatika, kuna watu ukiwatendea wema ni kama kula mavi yako tu, imagine. Niliwahi msamehe mtu alinitendea ubaya siku alipojaa kwenye 18 zangu nikaamini atajifunza kitu. Ila siku ilipotokea tuna tatizo na chanzo ni mimi alinishughulikia mpaka nikajuta kwa nini sikuacha aende jela wakati ule maana issue yake ningekaza jela ilikuwa inamuita.
 
Mwanamuziki wa miondoko ya kutoka foka Mr Blue aliwahi kusema kua MWANAUME HASHINDANI NA SIDIRIA..

Umefeli Big Time...beat it au wote walewale mtu na shost yake mnawekeana vinyongo??
 
Au muitengeze then akupe kiasi kidogo.... Maana huruma inakuja ana mkopo na ndiyo biashara inayomuingizia kipato muone huruma mlegezee
 
Mwanamuziki wa miondoko ya kutoka foka Mr Blue aliwahi kusema kua MWANAUME HASHINDANI NA SIDIRIA..

Umefeli Big Time...beat it au wote walewale mtu na shost yake mnawekeana vinyongo??
Aiseee blue ameanza lini kufoka? ila nimekupata dada. Maana hata huyo blue mwenyewe ni dada tu, si kalapina aliwahi kumtolea posa au sio huyu? Eti sista nikumbushe pia hiyo nyimbo ya blue kashirikiana na nani!?
 
Back
Top Bottom