Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Bishanga bana,mi sijui kama nilivyomuambia Amyner ndo kutongoza.Mi nimetaka aniambie "utukufu" unafananaje maana nasikia tu eti sijui umezungukwa na nywele mara sijui nini!
 
Sasa Amyner,kidume niko hapa nina thrity something halafu bikra,ebanaeee!Acha kabisa,hivi box manyoya inafananaje vile?Hebu nimegee kidogo. . . . . . .!

Wacha banaaa wewe wa enzi gani? Hata kwenye biology ya secondary hukusoma??
 
Eiyer mfate Asprin akupe maujuzi, naskia akienda na mdada lazima aombe poo!
Au anatumia dawa za kimasai?lol
Ushauri mzuri sana huu Amyner.... ila mwambie kabisa mapenzi ni uchafu kama anaona kinyaa asije darasani, ntamchapa bakora.
 
Last edited by a moderator:

Sorry mi mwanaume nimepita tu bahati mbaya, hivi wanawake wanakigezo gani kujua huyo mwanaume ni bikra? Kuna ushahidi wowote? Au tu ni changa la macho kupata kumwaminisha mwanamke kuwa yeye ni kijana mtulivu?

Napita tu jamani .....!:wink2:
 
Sasa Amyner,unajuaje kama sekondari nimesoma bana?Hebu niambie,acha uchoyo!
 

Ckweli mtazamo wk kwa tarifa yk ni mwerevu na cmjinga ni heshima yk umejiekea ndugu na wl ucjione vibaya,na kushauri 2lia mpk utkppt mke wk wa halali,2lia ucwackilize hao wanaojifanya wa janja kumbe ndo wananasa ktk mawaya.
 
Ushauri mzuri sana huu Amyner.... ila mwambie kabisa mapenzi ni uchafu kama anaona kinyaa asije darasani, ntamchapa bakora.

Kumbe kuna uchafu tena!!!!Sasa ndo nini. . . . . . !
 
Last edited by a moderator:
huwa wana wivu balaa,kama wanawake mabikra tu,mi huwa siwapendi wanawake mabikra kabisa
 
Bishanga umemshtukia eeh?

Kwani Konyagi ina nini?Maana mi nimekinukuu hicho kibabu kikisema bana,halafu kimekuja na nyingine eti inaitwa mutombo. . . . !
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…