Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Amyner,kidume niko hapa nina thrity something halafu bikra,ebanaeee!Acha kabisa,hivi box manyoya inafananaje vile?Hebu nimegee kidogo. . . . . . .!
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!Ni changamoto gani anakabiliana nazo mwanaume kama huyu?Hebu kuweni wazi bana. . . . . . . . . .