georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
i am OK. Missing you much!georgeallen mzima wewe?
Hapo Port view kuna jamaa wanatengeneza kuku sijawahi ona. Mpaka majogoo yakipita jirani yanaogopa kuwika..... Yaani umenifanya nijisikie raha sana......Yamekwisha,
haya tende kazi
leo mchana msosi wapi, nataka niwe mgeni wako.
Hapo Port view kuna jamaa wanatengeneza kuku sijawahi ona. Mpaka majogoo yakipita jirani yanaogopa kuwika..... Yaani umenifanya nijisikie raha sana......
Tena wajue kabisa na kukogeshana tunakogeshana kwa raha zetu. I love you my sweetie BADILI TABIA. Hebu kanunue nyembe za kutosha uwape wenye mawivu yao...hawajui hawa bebiiii, wenyewe tunapendana, tumeshibana, na mapenzi yetu yalianza tangu zamani....
View attachment 56793
Poa kajukuu, umesalimika? Hongera kwa kununua hii VITZBabu habari yako......
Sent from my BlackBerry Smartphone
Poa kajukuu, umesalimika? Hongera kwa kununua hii VITZ
Sent from my BlackBerry Smartphone
Asprin hebu msaidie Eiyer apate kitu maana naona anashida
mijanajike ya humu yote imekubuhu. Kazi kwako.