Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Yamekwisha,
haya tende kazi
leo mchana msosi wapi, nataka niwe mgeni wako.
Hapo Port view kuna jamaa wanatengeneza kuku sijawahi ona. Mpaka majogoo yakipita jirani yanaogopa kuwika..... Yaani umenifanya nijisikie raha sana......
06-funny-caricatures-of-famous-people1.jpg
 
Poa kajukuu, umesalimika? Hongera kwa kununua hii VITZ


Sent from my BlackBerry Smartphone

Nimesalimika babu! Na kufarijika sana kukuona asubuhi hii... Hongera pia kwa ka-vitz!!! Hahahah
 
Inafaa nawe utafute bikira kama wewe ili Mamndenyi afanye kazi yake ya ukungwi akuache ulimi umerudi kujifunza lugha za utotoni ya am badala ya tamu.
 
Last edited by a moderator:
kumbe Kaunga uko kumbemenda Eiyer mtoto wa watu,

baada ya kupita kwa wazoefu wale, huyu ataweza kweli? :wink2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom