Enyi watanganyika, Samia hukaa Zanzibar kuchangamsha uchumi wa huko.

Enyi watanganyika, Samia hukaa Zanzibar kuchangamsha uchumi wa huko.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT

Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha.

Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale.

In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar sana na hana mpango wowote mzuri na Tanganyika.
 
Achana nae tu huyo mkuu fanya tu mambo yako maisha yasonge!, nchi yenyewe ilishajipotezeaga mwelekeo mda tu kama haina uongozi vile!, ukifatilia sana yanayoendelea humu nchini waweza ugua kichwa bure tu kuwaza.
Lakini pia lazima tuvifunze vuchwa vyetu kupokea makasiriko kutoka kwa watawala maana wanatudharau sana
 
TOKA MAKTABA :

25 AUGUST 2025

Serikali ya JMT imelipa fidia ya tsh 2.1 bilioni kwa Wananchi wa Zanzibar kupisha eneo la ujenzi wa Ikulu ndogo ya JMT

Pia Katika eneo hilo kutajengwa Ofisi za Makamu wa Rais na.Waziri mkuu

Source ITV

Ili kudumisha muungano pia Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania liwe kwa kipindi fulani linakutana Zanzibar.

Hii mbali ya kuondoa kero za changamoto za muungano pia litachochea uchumi kwa vigogo zaidi ya 500 wa taasis zima la bunge kukaa kikao Zanzibar na Pemba kwa muda na pia kuleta maelewano ktk ngazi ya mtu na mtu hivyo kuimarisha Muungano na pia mfano mfanyabiashara mdogo wa Forodhani Zanzibar kuguswa na manufaa ya kiuchumi, kijamii na kisiasa
 
GT

Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha.

Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale.

In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar sana na hana mpango wowote mzuri na Tanganyika.
nonsense :HAhaa:
 

Rais Samia: Serikali kuendeleza uwekezaji bandari Zanzibar​


January 7, 2025 4:38 pm · Fatuma Hussein

  • Ni pamoja na ujenzi wa bandari ya Wete na Kizimkazi.
  • Bandari ya Shumba mjini Pemba na Micheweni zinafikiriwa kujengwa.
Dar es Salaam, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itaendelea kuongeza uwekezaji katika ujenzi wa bandari visiwani humo ili kuchochea shughuli za kiuchumi zitakazoleta maendeleo ikiwemo utalii, biashara, pamoja na uchumi wa bluu.

Rais Samia aliyekuwa akizungumza lwakati wa ufunguzi wa hoteli ya Bawe Island iliyopo Kisiwa cha Bawe Zanzibar leo Januari 7, 2025, amesema mbali na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayowekwa Serikali yake inatekeleza miradi itayochangia maendeleo endelevu katika sekta ya utalii na miundombinu.

Related​


Tanzania yaanza mazungumzo na wawekezaji bandari ya Bagamoyo​

June 26, 2021
In "Business"

Rais Samia akemea uuzaji wa karafuu kimagendo Zanzibar​

January 9, 2024
In "News"

Rais Samia akemea uuzaji wa karafuu kimagendo Zanzibar​

January 9, 2024
In "News"
“Kuna uwekezaji katika bandari ya makontena na mizigo Malindi, bandari kavu ya Maruhubi, uwekezaji katika bandari ya makontena Fumba na bandari ya makontena mkoani Pemba, lakini vilevile kuna bandari mpya ya kisasa ya abiria na mizigo Maruhubi mpiga duri na uwekezaji katika miundombinu ya kushusha mafuta ya gesi,” ameeleza Rais Samia.

Ggr9xPQWEAANQcz.jpg

Muonekano wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe. Picha/ Ikulu Tanzania/X.

Rais Samia ameongeza kuwa zipo bandari zinazohitaji kukamilishwa ikiwa ni pamoja na bandari ya jumuishi ya Manga Pwani na bandari zinazofikiriwa kujengwa kama vile bandari ya Shumba mjini Pemba, Micheweni, pamoja na bandari ya Wete.

“Katika jitihada za kuendelea kuifungua Pemba kiuchumi kutakuwa na ujenzi wa bandari ya wete pale Pemba, kubwa zaidi ndugu zangu ni ujenzi wa bandari ya Kizimkazi, hii Kizimkazi inaenda kubadilika kuwa nyingine, sasa hapa dokta umemeliza na mimi nitakupa kila ushirikiano,” amesema Rais Samia.

Ggr8Su-XYAA1clb.jpg

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi wa Hoteli. Picha/ Ikulu Tanzania/X.

Hata hivyo, Rais Samia ameeleza kuwa kumarika kwa miradi mingine kama huo uliofunguliwa leo utategemea zaidi uamuzi na jitihada za Serikali ya Zanzibar kuimarisha viwanja vya ndege.

“Kila mmoja wetu ni shahidi wa ufanisi na huduma bora zinazotolewa katika uwanja wa ndege terminal (III) pale uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume , wasafiri wanaokuja na kuondoka zanzibar wanafurahi na huduma zinazotolewa, hivyo tuongeze jitihada,” amesema Rais samia.

Mradi wa hoteli ya Bawe Island Cocoon Collection umegharimu dola za Marekani Sh42 milioni na ni mojawapo ya miradi 115 inayotekelezwa Zanzibar ukitarajiwa kutoa ajira 400 kwa Watanzania.

Source:​

[email protected]


© 2024 Nukta Africa. All Rights Reserved.
Enable Notifications
 
GT

Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha.

Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale.

In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar sana na hana mpango wowote mzuri na Tanganyika.
Acha bla bla za *******, kuna ubaya gani Samia kuwa Zanzibar. Huu ujinga na chuki za kipumbavu ndio zinazokutoeni thamani Watanganyika.
 
TOKA MAKTABA :

Ujenzi wa Taasisi za Serikali ya Zanzibar Jijini Dodoma kuanza ndani ya wiki moja​


By Rahma Salum

​

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah ametoa Wiki moja kwa Taasisi za Ardhi, Mipango Miji pamoja na Wakala wa Ujenzi Zanzibar kukamilisha utaratibu utakaowezesha kuanza kwa ujenzi wa Majengo ya Taasisi za Serikali katika Mji Mpya wa Dodoma.

Amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo lililotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Ofisi ya uratibu wa shughuli za Serikali iliyopo Jijini Dar es Salaam ihamie Dodoma ndani ya kipindi kifupi.

Hemed Suleiman ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara Maalum ya kutembelea eneo lililokabidhiwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kujenga Ofisi hizo katika eneo la Mji mpya Jijini Dodoma likiwa na ukubwa wa hekta 33.

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kuhamishia Makao Makuu ya shughuli za Serikali Jijini Dodoma katikati ya ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uamuzi uliokwenda sambamba na kuzingatia wazo la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilolitoa mwanzoni mwa miaka ya 60.
 
GT

Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha.

Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale.

In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar sana na hana mpango wowote mzuri na Tanganyika.
"LET IT AS IT IS" MIND YOUR BUSINESS.
 
anaipenda Zanzibar sana na hana mpango wowote mzuri na Tanganyika.
January 8, 2026
Buyu, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar.
1767872971875.jpeg
 
Mbwa wote walioshiriki kuisaliti nchi yetu kwa kumzawadia huyu shetani na muuaji, malipo yao watayapata hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom