Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro

leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Wazazi wana mentality za kikuda sana, kuchelewa ni sehemu ya maisha kwani wewe kwenye makuzi yako hujawahi pitia hiyo??

Kwa miaka yake inapaswa umueleweshe zaidi ya makaripio
 
Wazazi wana mentality za kikuda sana, kuchelewa ni sehemu ya maisha kwani wewe kwenye makuzi yako hujawahi pitia hiyo??

Kwa miaka yake inapaswa umueleweshe zaidi ya makaripio
Ukitaka mentality isiyo ya kikuda we si ukaanzishe mji wako? Huko hata usipo rudi hakuna wa kukuuliza , ila ukiwa bado unanitegemea mimi kama mzazi kwa kila kitu lazima uendane nanninavyo taka uwe ilimradi tuu iwe ni kwa nia njema , Yaani kikuveshe pampas mwenyewe halafu sahizi uanze kunipangia unayo yataka wewe kwenye nyumba yangu!? Hapo ubaba/umama utakuwa na kazi gani sasa ?
 
Kuna vitu ukishavikosea kwenye maisha especially katika familia na malezi ya watoto, vitakupa shida sana huku sisi tukishangaa unashindwaje ku deal navyo??
 
Kuna vitu ukishavikosea kwenye maisha especially katika familia na malezi ya watoto, vitakupa shida sana huku sisi tukishangaa unashindwaje ku deal navyo??
Wengi hawajui ni umri gani wa kumfunza mtoto yale unayo yaamini wanakuja kushtuka kwa kuchelewa sana
 
Yan wewe kama ni baba ni mtu wa ajabu sana yana unalinganisha urefu wa mtoto na adabu yake
 
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro

leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Aanza kujifunza karate mapema la sivyo dogo atakukalisha na mimbata😂😂😂.

Inaelekea ulitumia ulezi wa kuweka uoga kwa mwanao kuliko heshima. Uoga daima una mbadala, ambao ni ujasiri. Ila heshima ni ngumu kubadilika.

Dogo keshakuwa jasiri dhidi ya uoga uliomuwekea alipokuwa anakua.
 
Mtu mtata ni mtata tu tena mfano vile vizee vya usambaani baadhi ni vitata balaa!!😁😁
Mie mwenyewe mzee wangu nlikuwa namuona mtata sana kwa wakati huo, ila kwa sasa nimejua kumbe kuna vitu alikuwa akinifunza na nimeona vinanisaidia sana katika malezi ya hawa vijana wangu
 
Siunamwita unamwambia akatafute sehemu ya kulala nakula nakuvalishwa tu pap kama haniheshimu ila ukiona hueshimiwi mama ndio analisha familia
ulimleta wewe amuhudumie nani..?? akitoka nje akipata balaa unaanza kulia mpaka vimishipa ushenzi vinakusimama!.. waafrika tuna tabu sana kwenye malezi halafu unataka huyo mtoto aje kuwa gen z...😂
 
Back
Top Bottom